Aliyewaandaa Masanja na Nyerere kwenda kuzungumza Mbele ya viongozi wa Mataifa mbalimbali awajibishwe

Aliyewaandaa Masanja na Nyerere kwenda kuzungumza Mbele ya viongozi wa Mataifa mbalimbali awajibishwe

Sema Masanja nae chenga asee yani kujiongeza hajui,anajua kwamba Kenya walipatwa na nzige juzi kati hapa na rais wao alikuepo bado analeta pigo kama zina kejeli flani hivi(sio tafsiri rasmi), anaposema sisi Mungu anatupenda huwezi ona vitu kama nzige(ndio ni ukweli lakini binafsi nimeona kazingua)
Shule chief
 
Yaani jamaa


Mbona milio ya risasi kwenye nchi hii mingi tu au wewe unafikiria risasi inasikika wakati wa kupigania uhuru tu?
una akili fupi sana za kisisiem,
Mwandishi wa habari mwangosi aliuliwa kwa nini?
Ben saa nane amepotea vipi?
Mawazo aliuliwaje?
Lisu alishambuliwaje na risasi?

Wewe jamaa hata hujielewi kumaa lako
We naye peleka hizo ajenda zako na hao watu wako huko! Vijana wa Mbowe nani kawaloga?
 
Katika hafla kubwa ya Kitaifa kama iliyofanyika Le ambayo camera za mataifa Mbalimbali zinaelekezwa Kwetu tumeshindwaje kuleta watu wenye akili wanaoweza kuitangaza nchi tunaleta watu Wanafoka na kuongea vitu visivyoeleweka. Mtu huyu anaongea as if yupo kwenye mkutano wa Kijiji. Bora tungewapa Maliasili hizo dakika watuonyeshe rasilimali zetu za kitalii.

Kama tuliona Masanja ana umuhimu tulishindwa kumuuliza anakwenda kusema nini? Aliyempa tenda Masanja anafanya nini Ofisini?
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
siku ya leo ilipaswa tuwe tunafyatua makombora kuelekea upande wa Comoro yaangukie mbele kidogo ya Zanzibar..

Halafu turushe zile long range zetu kuelekea atlantic karibu kabisa na Guam ili Cow boy apate salamu kutoka Africa superpower aka donor country....
 
Back
Top Bottom