Bright eyes
JF-Expert Member
- Dec 7, 2021
- 228
- 303
Tafakari chukua hatuaNchi nyingine ukiwa jingajinga hukatizi Ikulu, ila Tanzania hicho ndio kinyume chake, wajingajinga ndio wanapata mashavu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tafakari chukua hatuaNchi nyingine ukiwa jingajinga hukatizi Ikulu, ila Tanzania hicho ndio kinyume chake, wajingajinga ndio wanapata mashavu.
Shule chiefSema Masanja nae chenga asee yani kujiongeza hajui,anajua kwamba Kenya walipatwa na nzige juzi kati hapa na rais wao alikuepo bado analeta pigo kama zina kejeli flani hivi(sio tafsiri rasmi), anaposema sisi Mungu anatupenda huwezi ona vitu kama nzige(ndio ni ukweli lakini binafsi nimeona kazingua)
We naye peleka hizo ajenda zako na hao watu wako huko! Vijana wa Mbowe nani kawaloga?Yaani jamaa
Mbona milio ya risasi kwenye nchi hii mingi tu au wewe unafikiria risasi inasikika wakati wa kupigania uhuru tu?
una akili fupi sana za kisisiem,
Mwandishi wa habari mwangosi aliuliwa kwa nini?
Ben saa nane amepotea vipi?
Mawazo aliuliwaje?
Lisu alishambuliwaje na risasi?
Wewe jamaa hata hujielewi kumaa lako
Masanja sio mchekeshaji, alikuwa anasafiria nyota ya JOTI tuKatia aibu na hajui kuchekesha kabisa
NakaziaUjinga sana
NakaziaSo wangempa zuchu akate viuno
CcmHayo maonyesho yapo channel gani kwani
SureMasanja sio mchekeshaji, alikuwa anasafiria nyota ya JOTI tu
[emoji38][emoji38][emoji38]Katika hafla kubwa ya Kitaifa kama iliyofanyika Le ambayo camera za mataifa Mbalimbali zinaelekezwa Kwetu tumeshindwaje kuleta watu wenye akili wanaoweza kuitangaza nchi tunaleta watu Wanafoka na kuongea vitu visivyoeleweka. Mtu huyu anaongea as if yupo kwenye mkutano wa Kijiji. Bora tungewapa Maliasili hizo dakika watuonyeshe rasilimali zetu za kitalii.
Kama tuliona Masanja ana umuhimu tulishindwa kumuuliza anakwenda kusema nini? Aliyempa tenda Masanja anafanya nini Ofisini?
Kwa jina jipya wanaitwa chawaMasanja ni mtu wa kujipendekeza yani anaishi mjini kisanii tu , ni mropokaji sana
Kwahiyo ikakutachii ?"wanasema mbona unasafiri sana!, unataka baba yako ndio asafiri?"
Ikabidi nibadilishe channel kwanza, nikarudi baadae
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Riheso ilifanyika na kile alichozungumza ndio kilipangwa kwenye riheso aje kuongea ili watu muumane Kama hivi 🤣