kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Siyo akawape kazi, alisema nanukuuYaani jamaa very bogus tena akawananga wanajeshi wa tz eti wapowapo tu hawana kazi kwa hiyo rais amuombe kagame awachukue akawape kazi wanajeshi wa tanzania
Yule hatakiwi kupewa mic kwenye public ni mtu wa kujipendekeza maisha yake yoteYaani jamaa very bogus tena akawananga wanajeshi wa tz eti wapowapo tu hawana kazi kwa hiyo rais amuombe kagame awachukue akawape kazi wanajeshi wa tanzania
Na wewe nadhani hauko mbali sana na mawazo yake finyuSema Masanja nae chenga asee yani kujiongeza hajui,anajua kwamba Kenya walipatwa na nzige juzi kati hapa na rais wao alikuepo bado analeta pigo kama zina kejeli flani hivi(sio tafsiri rasmi), anaposema sisi Mungu anatupenda huwezi ona vitu kama nzige(ndio ni ukweli lakini binafsi nimeona kazingua)
Sidhani kama hio ilikuwa ad verbatim....Siyo akawape kazi, alisema nanukuu
"Ikiwezekana mkuu wa majeshi amuombe Kagame pambano la kirafiki"
Mwisho wa kunukuu, asante kwa kunisikiliza.
Samia ni kijana mama wa KikweteYaani jamaa very bogus tena akawananga wanajeshi wa tz eti wapowapo tu hawana kazi kwa hiyo rais amuombe kagame awachukue akawape kazi wanajeshi wa tanzania..
Dah! Kweli bogus yaani mtu anaomba pambano la kirafiki la Vita????Siyo akawape kazi, alisema nanukuu
"Ikiwezekana mkuu wa majeshi amuombe Kagame pambano la kirafiki"
Mwisho wa kunukuu, asante kwa kunisikiliza.
Elimu.... Elimu.... Elimu.....Katika hafla kubwa ya Kitaifa kama iliyofanyika Le ambayo camera za mataifa Mbalimbali zinaelekezwa Kwetu tumeshindwaje kuleta watu wenye akili wanaoweza kuitangaza nchi tunaleta watu Wanafoka na kuongea vitu visivyoeleweka. Mtu huyu anaongea as if yupo kwenye mkutano wa Kijiji. Bora tungewapa Maliasili hizo dakokika watuonyeshe rasilimali zetu za kitalii.
Kama tuliona masanja ana umuhimu tulishindwa kumuuliza anakwenda kusema nn? Aliyempa tenda masanJa anafanya nn Ofisini?
Kweli! umeona kwamba mimi na yeye hakuna tofauti au sio? au unataka kusemaje? maana naweza kuwa rough pia kama unataka iwe hivyo.Soma elewa kwanzaNa wewe nadhani hauko mbali sana na mawazo yake finyu
Masanja atuombe radhi tulioshuhudia madhara ya vuta ya Kagera.Dah! Kweli bogus yaani mtu anaomba pambano la kirafiki la Vita????