GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mtangazaji wa WasafiMedia "Diva" amempa sifa kedekede Mpenzi wake kwa kile anachodai Mpenzi wake ni mtu Tajiri anayejua Mapenzi....
Kupitia ukurasa wake wa Facebook Diva anaandika.........."Sema acheni mchezo mume wangu ana macho mazur nyie, akicheka sasa aaaah!. Kijana ana hela, ana jua mapenzi fundi hasa, kitandani mashuti goal".
"Miezi sita ya mahaba yarab napenda raha mie Diva aaah!. Roho yangu ninavyompenda. Ngoja nimpigie simu nimwambie mekumiss babe"
Chanzo: Ngombozi TV
Ndiyo maana nami nikiwa nao huwa nahakikisha nikimaliza 'Mfurunduano' ama Kazimia au anaona Moto unawaka!!!