Aliyewaficha waliotengeneza Korona ni nani; Siamini kama dunia imeshindwa kuwatambua wahusika wakati kila kitu kiko wazi!?

You must be mentally retarded
 
Pole sana, haya mapovu yako juu ya rais wetu nakuambia yatakufika mwenyewe,keep calm utaona

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Lengo kubwa la kutengeneza ugonjwa huu ilikua ni
1. Kuzuia maandamano yalio kuwa yameshika hatamu saaana chini China, maandamano ayo yalilenga kujitenga kwa baadhi ya miji na kua na sarikari yao.

2. Kuuza daawa ya kuutibu ugonjwa uo na kuingiza kiasi kikubwa cha pesa( mradi endelevu).
 
Hakuna tunacho jua. mjusi alisema mpaka maesabu yetu yako very wrong
 
#wearenotforsell

Kama ingekua hivyo Wajerumani, Wagiriki, wareno, Waingireza walitakiwa kutoa fidia for the so called makoloni yao...

Itoshe tu kukiri kwamba Mwenye Ulimwengu wake alikua anayajua haya hata kabla ya kumuumba mwanaadam...

Na ni kwa sala na dua pekee tunaweza kuwa salama.
 
Ni ugonjwa wa mlipuko tu kama magonjwa mengine Hakuna aliyetengeneza
 
Yaani mdudu wa kuwashambulia waandamanaji wa Hong Kong aliwaponyoka jamaa basi imekua tabu kwa Dunia.Walikua wakimwage Hong Kong then mipaka yake yote ifungwe ili wasieneze Dunia nyingine. Isitoshe COVID-19 was a biological weapon ila hawakuatarajia kua kitaondoa maisha ya wanadamu kivile.
Unajua kwanini USA na Italy kimeshambulia sana na kuenea sana..kumbukumbu zipo sawa .Wakati wa maandamano pale Hong Kong Italy na USA zilikua nchi za kwanza kutoa msimamo wake kwa kuwasupport waandamanaji mpaka wanaharakati kutoka Italy na USA wakishiriki ayo maandamano..je,unajua kilichowakuta .
Tusichoshane
 
Ni sheedaaaa. Na code language waliyoitumia inaangalia sana age na hali ya immune ya mtu aliyeambukizwa. Wengi wa watu wazima umri miaka 60 na kuendelea na wenye magonjwa inaleta changamoto kubwa. Umri wa chini ya miaka 40 kurudi nyuma hata kama ikiwatandika, wanateseka lakini angalau wengi hupona.
 
katika uchunguzi wako anza na hawa wanaotoa chanjo! ila kama wanatoa bure achana nao.
 
Xi Ping anajua ili..na ni moja ya watu waliopigwa chanjo akiwa namba 3.
Ujiulizi kwanini Wuhan Lab alipandishwa daraja ndani ya muda mfupi bila ata kufuata protocol?
 
umeongea kwa hisia sana na nipenda unataka tupate ukweli wa mambo akini we ndo utakuwa moja wapo wa hao hiyo project ya ijuwe kesho yako leo we unaitabiri na ikituletea madhara tuanze kukuchunguza ww
 
umeongea kwa hisia sana na nipenda unataka tupate ukweli wa mambo akini we ndo utakuwa moja wapo wa hao hiyo project ya ijuwe kesho yako leo we unaitabiri na ikituletea madhara tuanze kukuchunguza ww
Kwahiyo mtu abaekuonesha chini usijigonge na jiwe! Naye unamjumulisha kwenye hatari za jiwe lenyewe?
 
Kwani africa tupo kwenye juhudi zozote kuwatambua hao watu......sisi kila kitu tunaskiliza hao wajamaa wanasema nini then tubebe hicho hicho,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…