Aliyewahi kuagiza Alibaba au anajua office zao zilipo kwa Dar

Eh watu mnasiri kwahyo mnamademu wa kichina sisi hatujui dah
 
Eh watu mnasiri kwahyo mnamademu wa kichina sisi hatujui dah
Ha ha ha mzee huyu demu saiz mpk tunapabga kutembeleana[emoji38][emoji38] ila ujue nimeijenga pia maana kuna muda namnunulia mazaga tu kule pinduo ma taobao naelekeza kwenye address yake anainjoy
 
Ha ha ha mzee huyu demu saiz mpk tunapabga kutembeleana[emoji38][emoji38] ila ujue nimeijenga pia maana kuna muda namnunulia mazaga tu kule pinduo ma taobao naelekeza kwenye address yake anainjoy
Duh kweli mpo serious mpka unahonga mchina alooo sio mchezo
 
Great ningependa kukujulisha kuwa kwa sasa AliExpress hawatumii tena shipping agent. Kwasasa AliExpress wameiingia makubaliano na kampuni ya safirishaji iitwayo speedaf so mizigo yote yawateja inayonunuliwa toka AliExpress inasafirishwa na hii kampuni ya speedaf ofisi zao zipo Morocco pale. so wew nunua mzigo weka address yako mzigo wako ukifik dar unapigiwa unaletew had ulipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…