Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii apoPicha ya Zabibu
Queen darlin sijajua kama kaolewa ila yule mwingine mwarabu nasikia kuna dananda wa mjini alishaoa na wakonae.Hivi dadazake Diamond wataolewa lini waache kusumbuana na mawifi insta? Na je Mama Dangote naye ataolewa lini na yule jamaa?
Mama dangote ilifungwa ya siri ben10 ni mume halaliHivi dadazake Diamond wataolewa lini waache kusumbuana na mawifi insta? Na je Mama Dangote naye ataolewa lini na yule jamaa?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Mama dangote ilifungwa ya siri ben10 ni mume halali
Esma alishaolewaga na petman kitambooHivi dadazake Diamond wataolewa lini waache kusumbuana na mawifi insta? Na je Mama Dangote naye ataolewa lini na yule jamaa?
Mbona Aalishaolewana Petit man wakuacheHivi dadazake Diamond wataolewa lini waache kusumbuana na mawifi insta? Na je Mama Dangote naye ataolewa lini na yule jamaa?
Mbona Aalishaolewana Petit man wakuache
Mkuu umenidhalilisha nimecheka mfululizo niko na watu wa heshima hapaMume ndo anaitwa WAKUACHE? Aisee!! Ukute nae kaolewa huko na jamaa!! Dume Unaitwaje wakuache?
Yule hawezi kuwa mume[emoji13]Mbona Aalishaolewana Petit man wakuache
Mambo ya mjini hayo kule Simiyu hamyafahamu hayaMume ndo anaitwa WAKUACHE? Aisee!! Ukute nae kaolewa huko na jamaa!! Dume Unaitwaje wakuache?
picha ya baba yao iko wapi?Wamefanana sura na baba yao.