Aliyewahi kuwa Beki wa Simba SC, Abdi Banda kumuoa dada yake Ali Kiba

Aliyewahi kuwa Beki wa Simba SC, Abdi Banda kumuoa dada yake Ali Kiba

mbona kiba ni mzuri kuliko dadaake
huyo dada make up zinambeba kinoma mara ya kumuona tv nilipagawa ile kumuona live nilichoka wana vichwa pembe hata abdu kiba kidogo ali kiba haoneshi mbaka acheke pembe zinadisa kinoma
 
Jamani,na Mimi natangaza kumpenda kaka mmoja anaitwa kichuya,huyu mkaka nampenda mpaka basi,hata nikikutana naye naweza kumtongoza,nampenda mpaka naumwa,kichuya popote ulipo ujue nakupendaaa
Mtoto asipofanana na Mzee wasira,mimi simo.
 
Ni Abdi Banda anatarajia kufunga ndoa na dada ake Kiba, Zabibu baadae mwaka huu, hii ni baada ya kaka yake kufunga ndoa. Pongezi kwake Abdi Banda
==
Abdi Banda kwa sasa anachezea timu moja huko South Africa,ila aliwahi kuichezea simba sc

images-1-jpg.753027
Hongera zake
 
Jamani,na Mimi natangaza kumpenda kaka mmoja anaitwa kichuya,huyu mkaka nampenda mpaka basi,hata nikikutana naye naweza kumtongoza,nampenda mpaka naumwa,kichuya popote ulipo ujue nakupendaaa
nenda page yake insta kamchane
 
Humu ndani kuna vituko, nimecheka hadi nimepaliwa, msamehe bibi yetu kwa babu Asprin
Mkuu mi nimecheka usiku huu lakini daah humu kuna watu jamani

Kuna aliyesema ndoa ya kuoana na binti alofanana na wanaume moja kwa moja ni ndoa ya jinsia moja daah aisee nimecheka sana
 
Jamani,na Mimi natangaza kumpenda kaka mmoja anaitwa kichuya,huyu mkaka nampenda mpaka basi,hata nikikutana naye naweza kumtongoza,nampenda mpaka naumwa,kichuya popote ulipo ujue nakupendaaa
Nimimi mdogo ake nichek PM nikupe namba zake
 
Nani wa simiyu? Yaani ungekua sio mwanamke leo ungenisababishia ban!!.. mi
Born town kitambo unaniita wa simiyu? Mi msukuma mimi? Dharau gani hizi!! Mi msukuma? Dah
amekuona unaakili za jiwe nini shwaini kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom