Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Whaaat?[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]dah ila dada yule wa king kwa ile michezo ya mombasa kariakoo wanatambua ubora wake, I hope banda naye ni mdau maan na yeye si beki anacheza nyuma?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Whaaat?[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]dah ila dada yule wa king kwa ile michezo ya mombasa kariakoo wanatambua ubora wake, I hope banda naye ni mdau maan na yeye si beki anacheza nyuma?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Nani wa simiyu? Yaani ungekua sio mwanamke leo ungenisababishia ban!!.. mi
Born town kitambo unaniita wa simiyu? Mi msukuma mimi? Dharau gani hizi!! Mi msukuma? Dah
hii familia inafanana vichwa na sura zao kama wanapembe hivi utajua tu hawa watoto wa mzee kibaNi Abdi Banda anatarajia kufunga ndoa na dada ake Kiba, Zabibu baadae mwaka huu, hii ni baada ya kaka yake kufunga ndoa. Pongezi kwake Abdi Banda
==
Abdi Banda kwa sasa anachezea timu moja huko South Africa,ila aliwahi kuichezea simba sc
![]()
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu wa JF mna nini!![emoji23][emoji23][emoji23]Wewe ndiye uliyelia baada ya kukutana na paipu ya ujazo wa dona na maharage mpaka ukarudisha mpunga unadai nafsi ilikusuta kumsaliti bwana ako sio?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu wa JF mna nini!![emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee umenichekesha sanaTunamiliki 1.5Trillion mama
Aisee umenichekesha sana
Jamani,na Mimi natangaza kumpenda kaka mmoja anaitwa kichuya,huyu mkaka nampenda mpaka basi,hata nikikutana naye naweza kumtongoza,nampenda mpaka naumwa,kichuya popote ulipo ujue nakupendaaa

jamani kumbe napedwa iv njoo bc kichuya ndio mmJamani,na Mimi natangaza kumpenda kaka mmoja anaitwa kichuya,huyu mkaka nampenda mpaka basi,hata nikikutana naye naweza kumtongoza,nampenda mpaka naumwa,kichuya popote ulipo ujue nakupendaaa
Ni Abdi Banda anatarajia kufunga ndoa na dada ake Kiba, Zabibu baadae mwaka huu, hii ni baada ya kaka yake kufunga ndoa. Pongezi kwake Abdi Banda
==
Abdi Banda kwa sasa anachezea timu moja huko South Africa,ila aliwahi kuichezea simba sc
![]()
hahahahaha matusi achadah ila dada yule wa king kwa ile michezo ya mombasa kariakoo wanatambua ubora wake, I hope banda naye ni mdau maan na yeye si beki anacheza nyuma?
mbona kiba ni mzuri kuliko dadaakehii familia inafanana vichwa na sura zao kama wanapembe hivi utajua tu hawa watoto wa mzee kiba
mbona washaolewa wote mamake na dadakeHivi dadazake Diamond wataolewa lini waache kusumbuana na mawifi insta? Na je Mama Dangote naye ataolewa lini na yule jamaa?
Niko hapa mama karibu piem, afu baada ya mechi na watani tutaenda sauziafirika.Jamani,na Mimi natangaza kumpenda kaka mmoja anaitwa kichuya,huyu mkaka nampenda mpaka basi,hata nikikutana naye naweza kumtongoza,nampenda mpaka naumwa,kichuya popote ulipo ujue nakupendaaa