PAGAN
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 12,181
- 20,148
picha ya baba yao iko wapi?
Baba yao alipotea kabla ya kumpiga picha. Lakini kumbukumbu zinaonyesha kwamba baba yao alikuwa na sura kama Zabibu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
picha ya baba yao iko wapi?
Kumbe ana sura Kama yooooh
HahahaaaaaMume ndo anaitwa WAKUACHE? Aisee!! Ukute nae kaolewa huko na jamaa!! Dume Unaitwaje wakuache?
subiri siku au mwaka akihamia kwa vyura. ila kwa sasa acha kwanza atusaidie kuchukua ubingwa wa vpl msimu huu.Jamani,na Mimi natangaza kumpenda kaka mmoja anaitwa kichuya,huyu mkaka nampenda mpaka basi,hata nikikutana naye naweza kumtongoza,nampenda mpaka naumwa,kichuya popote ulipo ujue nakupendaaa
Kaolewa ana miaka hata mitano sasa hiviSasa na Yule wa domo
Ataolewa na kaka yake
Queendalin kaolewa????Kaolewa ana miaka hata mitano sasa hivi
Esma najua alibebwa kitamboesma
queen nae ni mwanammke wa kuolewa
Ugua pole mdadaJamani,na Mimi natangaza kumpenda kaka mmoja anaitwa kichuya,huyu mkaka nampenda mpaka basi,hata nikikutana naye naweza kumtongoza,nampenda mpaka naumwa,kichuya popote ulipo ujue nakupendaaa
Mambo ya mjini hayo kule Simiyu hamyafahamu haya
Hebu weka picha nioneJamani,na Mimi natangaza kumpenda kaka mmoja anaitwa kichuya,huyu mkaka nampenda mpaka basi,hata nikikutana naye naweza kumtongoza,nampenda mpaka naumwa,kichuya popote ulipo ujue nakupendaaa
ni Pm nikupe namba zake mmalizane.Jamani,na Mimi natangaza kumpenda kaka mmoja anaitwa kichuya,huyu mkaka nampenda mpaka basi,hata nikikutana naye naweza kumtongoza,nampenda mpaka naumwa,kichuya popote ulipo ujue nakupendaaa
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Nani wa simiyu? Yaani ungekua sio mwanamke leo ungenisababishia ban!!.. mi norn town kitambo unaniita wa simiyu? Mi msukuma mimi? Dharau gani hizi!! Mi msukuma? Dah