Aliyewahi kuwa Beki wa Simba SC, Abdi Banda kumuoa dada yake Ali Kiba

PAZIA 3

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
1,102
Reaction score
1,919
Ni Abdi Banda anatarajia kufunga ndoa na dada ake Kiba, Zabibu baadae mwaka huu, hii ni baada ya kaka yake kufunga ndoa. Pongezi kwake Abdi Banda
==
Abdi Banda kwa sasa anachezea timu moja huko South Africa,ila aliwahi kuichezea simba sc

 
Hivi dadazake Diamond wataolewa lini waache kusumbuana na mawifi insta? Na je Mama Dangote naye ataolewa lini na yule jamaa?
Esma alishaolewaga na petman kitamboo
Bimkubwa nae ndoa yake ilikuwa ya Siri
 
Hivi dadazake Diamond wataolewa lini waache kusumbuana na mawifi insta? Na je Mama Dangote naye ataolewa lini na yule jamaa?
Mbona Aalishaolewana Petit man wakuache
 
Jamani,na Mimi natangaza kumpenda kaka mmoja anaitwa kichuya,huyu mkaka nampenda mpaka basi,hata nikikutana naye naweza kumtongoza,nampenda mpaka naumwa,kichuya popote ulipo ujue nakupendaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…