Aliyewahi kuwa Beki wa Simba SC, Abdi Banda kumuoa dada yake Ali Kiba

Jamani,na Mimi natangaza kumpenda kaka mmoja anaitwa kichuya,huyu mkaka nampenda mpaka basi,hata nikikutana naye naweza kumtongoza,nampenda mpaka naumwa,kichuya popote ulipo ujue nakupendaaa
subiri siku au mwaka akihamia kwa vyura. ila kwa sasa acha kwanza atusaidie kuchukua ubingwa wa vpl msimu huu.
 
Sasa na Yule wa domo
Ataolewa na kaka yake
 
Jamani,na Mimi natangaza kumpenda kaka mmoja anaitwa kichuya,huyu mkaka nampenda mpaka basi,hata nikikutana naye naweza kumtongoza,nampenda mpaka naumwa,kichuya popote ulipo ujue nakupendaaa
Ugua pole mdada
 
mwanamke sura kama man iyo moja kwa moja inakuwa ndoa ya jinsia 1
 
Jamani,na Mimi natangaza kumpenda kaka mmoja anaitwa kichuya,huyu mkaka nampenda mpaka basi,hata nikikutana naye naweza kumtongoza,nampenda mpaka naumwa,kichuya popote ulipo ujue nakupendaaa
Hebu weka picha nione
 
Jamani,na Mimi natangaza kumpenda kaka mmoja anaitwa kichuya,huyu mkaka nampenda mpaka basi,hata nikikutana naye naweza kumtongoza,nampenda mpaka naumwa,kichuya popote ulipo ujue nakupendaaa
ni Pm nikupe namba zake mmalizane.
 
Nani wa simiyu? Yaani ungekua sio mwanamke leo ungenisababishia ban!!.. mi norn town kitambo unaniita wa simiyu? Mi msukuma mimi? Dharau gani hizi!! Mi msukuma? Dah
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…