TANZIA Aliyewahi kuwa Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Charles Mbuge afariki dunia nchini India

TANZIA Aliyewahi kuwa Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Charles Mbuge afariki dunia nchini India

Meja Jenerali Mstaafu Charles Mbuge amefariki dunia leo October 12,2024 alfajiri akiwa Nchi India alipokuwa akipatiwa matibabu.

August 02, 2024 Mbuge aliagwa rasmi Jeshini baada ya kulitumikia Jeshi kwa zaidi ya miaka 38 na aliagwa kwa kukagua gwaride rasmi la kijeshi katika Viwanja vya Mgulani (Twalipo Admistration Unit-TAU) Jijini Dar es salaam.


Soma:
1. Meja Jenerali Charles Mbuge astaafu utumishi wake jeshini

2. Rais Magufuli amteua Brigedia Jenerali Charles Mbuge kuwa Mkuu wa JKT, aliyekuwepo apelekwa Mgambo

3. Major General Mbuge Kuwa RC kutoka Mkuu wa JKT Kapanda Cheo au kashuka?
Sitiresi za ustaafu ...
Unakuta hakuwa na kitu kashazoea vya bure jeshini
 
Ufunuo 14:13 “Nikasikia sauti kutoka mbinguni ikisema, Andika, Heri wafu wafao katika Bwana tangu sasa. Naam, asema Roho, wapate kupumzika baada ya taabu zao; kwa kuwa matendo yao yafuatana nao”.

Matendo yao yatafuatana nao........tutafakari matendo yetu duniani! wATAWALA TAFAKARI MATENDO YENU
RIP MBUGE


View attachment 3122569
😳🙄 !
 
Back
Top Bottom