TANZIA Aliyewahi kuwa Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Charles Mbuge afariki dunia nchini India

TANZIA Aliyewahi kuwa Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Charles Mbuge afariki dunia nchini India

mfano ni zipi?

Sina tatizo na mali zake, tatizo langu ni wangapi aliwaonea kwa cheo chake considering tabia ya wanajeshi kuwaonea raia!
Tuliopitia jkt tunajua huyu mzee alikuwa hapendi kuruta aonewe, akikuta askari anamuonea kuruta anaweza hata akampa adhabu lakini pia alikuwa mtu poa hata kwa wanajeshi wenzie, kwa kifupi alikuwa anakubalika ndio maana wengi walisikitika alivyonyimwa u-cdf baada ya magu kufariki
 
RIEP Maj Gen wana Ruvu tutatukukumbuka daima, laiti Magufuli angekuwa hai ungeshakuwa CDF Kitambo sana, kina Msuguri na mwenzie Sarakikya bado wanadunda tu
Wanadunda coz zama zao na influence kisiasa hawana!!

Hata cdf mabeyo ni wa kumwombea Kwa Mungu sana!

Waliokua maarufu kipindi Cha JPM na kupitia transition ya kwenda awamu hii wanahitaji maombi sana,ukichongewa hata kwa uongo tu unakua tagert!
 
RIEP Maj Gen wana Ruvu tutatukukumbuka daima, laiti Magufuli angekuwa hai ungeshakuwa CDF Kitambo sana, kina Msuguri na mwenzie Sarakikya bado wanadunda tu
Madam natak nikuulize , ivi kuwa CDF si ni mpaka uwe na cheo cha nyuma yake yani luten general?,
Iv major general
Brigedia general
Wanaweza kuwa CDF?
 
Back
Top Bottom