TANZIA Aliyewahi kuwa mkuu wa mikoa mbalimbali nchini, Abass Kandoro afariki dunia Hospitali ya Taifa, Muhimbili

Imethibitishwa Abass Kandoro hatunaye tena. Source inasema alikuwa ICU kwa muda mrefu sana

Tokea ' apepesuke ' Kisiasa / Kiuongozi miaka kadhaa iliyopita Marehemu hakuwa vizuri na ' Stress ' zilikuwa zikimtawala mno na pengine Mwenyezi Mungu aliona ni bora tu amuite aende akapumzike kuliko Yeye kuendelea kuwepo duniani ambako ' Maadui ' zake hasa wale waliokuwa wakifurahishwa na ' mateso ' aliyoyapitia wakiendelea kumuona na kumsanifu. Naomba niishie hapa tafadhali.

R.I.P Abbas Kandoro.
 
Inah ilahi waina lilah rajuin.

btw....hivi huyu hakuwahi kudhihaki ugonjwa wa Lowassa huyu?
just being curious and - hey - am not superstitious oh!
 
Kifo hakina huruma R. I. P kandoro umetuachia jina
 
Salamu kwa bwana yule wa Dar , kila mtu ni nyama ya aridhi tupunguze kujiona na kunyanyasa wengine.
 
Tokea ' apepesuke ' Kisiasa / Kiuongozi miaka kadhaa iliyopita Marehemu hakuwa vizuri na ' Stress ' zilikuwa zikimtawala mno na pengine Mwenyezi Mungu aliona ni bora tu amuite aende akapumzike kuliko Yeye kuendelea kuwepo duniani ambako ' Maadui ' zake hasa wale waliokuwa wakifurahishwa na ' mateso ' aliyoyapitia wakiendelea kumuona na kumsanifu. Naomba niishie hapa tafadhali.

R.I.P Abbas Kandoro.

Abass Kandoro alifikia umri wa kustaafu kwa wakuu wa Mikoa, kafariki kwa ugonjwa wa kawaida tu japo ni mgeni katika masikio yetu japo si sana.
 
Taarifa zilizopatikana ni kwamba aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa DSM Mzee Abbas Kandoro hatunae tena!
Apumzike kwa Amani.
 
Back
Top Bottom