TANZIA Aliyewahi kuwa mkuu wa mikoa mbalimbali nchini, Abass Kandoro afariki dunia Hospitali ya Taifa, Muhimbili

TANZIA Aliyewahi kuwa mkuu wa mikoa mbalimbali nchini, Abass Kandoro afariki dunia Hospitali ya Taifa, Muhimbili

Mkuu wa mkoa mstaafu Mzee Abbas kandoro amefariki dunia usiku huu katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili Jijini Dar alikolazwa kwa matibabu.
Inna Lillahi wa inna ilayhi raji'un
R.i.p kandoro
Umenikumbusha yale maji ya kiroba ya kupima hadi leo wanayaitaga kandoro
 
Mwenyezi Mungu ailaze roho yake panapostahili.
 
ni kweli amefariki dunia moja ya vitu nitakavyomkumbuka alikuwa serious kwenye ishu za maana na maji ya viroba kuitwa jina lake.apumzike kwa amani.
 
Back
Top Bottom