Yamakagashi
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 8,614
- 17,626
Imethibitishwa Abass Kandoro hatunaye tena. Source inasema alikuwa ICU kwa muda mrefu sana
Inah ilahi waina lilah rajuin.Imethibitishwa Abass Kandoro hatunaye tena. Source inasema alikuwa ICU kwa muda mrefu sana
Tokea ' apepesuke ' Kisiasa / Kiuongozi miaka kadhaa iliyopita Marehemu hakuwa vizuri na ' Stress ' zilikuwa zikimtawala mno na pengine Mwenyezi Mungu aliona ni bora tu amuite aende akapumzike kuliko Yeye kuendelea kuwepo duniani ambako ' Maadui ' zake hasa wale waliokuwa wakifurahishwa na ' mateso ' aliyoyapitia wakiendelea kumuona na kumsanifu. Naomba niishie hapa tafadhali.
R.I.P Abbas Kandoro.
AmenBwana alitoa na bwana ametwaa jina lake libarikiwe
Abass Kandoro alifikia umri wa kustaafu kwa wakuu wa Mikoa, kafariki kwa ugonjwa wa kawaida tu japo ni mgeni katika masikio yetu japo si sana.