The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Alfted dot MakohaNa yule rasi aliyesemaga " si ni bora mtunyonge " anaitwaga nani?
Alfred dot makoha dot makacha dot mahandasišAlfted dot Makoha
Ile ya bora mtunyonge alipowatia hatiani kina makoha.
Mzee iyo avatar yako ni nomaAlfted dot Makoha
Kwa wale wa penzi wa vichekesho na burudani.
Bwana Gibson ambae alikua akiigiza kama mwendesha mashtaka Mkuu wa kipindi cha Vioja Mahakamani huko Kenya amefariki Dunia.
Kipindi cha Vioja Mahakamani kilikua kipindi cha vichekesho kilichokua kinarushwa na televisheni ya taifa la Kenya, KBC Chaneli 1.
Bwana Gibson ndie alikua mwendesha mashtaka mkuu wa hicho kipindi cha burudani.
Pumzika kwa amani bwana Gibson. Umenifurahisha sana enzi zako ukiwa na team yako kina olekzanda Josephat, Ondieki, Makoha, na wengine.
Asijehukumiwa jaman huko alikoIle ya bora mtunyonge alipowahtia hatuani kina makoha.
Bwana makoa utampata hulabalu estate dstv 158 akiwa na yule mmasai na yule mzee anayependa kiingereza.Na yule rasi aliyesemaga " si ni bora mtunyonge " anaitwaga nani?