TANZIA Aliyewahi kuwa mwendesha mashtaka mkuu wa kipindi cha Vioja Mahakamani Afariki Dunia

wale watu wanajua bana[emoji28][emoji28]
kuna yule kibonge(ondieki)kila nikimuona lissu akiongea namkumbuka huyu jamaa,wanafanana sura,miili,kimo mpaka namna ya uongeaji[emoji23][emoji23][emoji23]

kuna sehem marehem aliulizwa na olexander josephat-wewe umewahi kukatangwa kichwa yako[emoji1787][emoji1787][emoji1787].na ile lafudhi ya kimasai unawezacheka upaliwe.

RIP mwendesha mashtaka bora kabisa.
 
Kweli Ondieki Nyukakwata wanafanana sana na Lisu. Alikua ananifurahisha sana pale mahakamani muda wote ananifanya ni pedeshee, suti kali muda wote. Muda wote anasema ndio nimeshuka na ndege ya asubuhi, jioni naenda London, mara nina kikao na Obama keshokutwa nk misifa kama yote.

Hawa jamaa wanajua sana. Siku hizi wako maisha magic east wana kipindi chao kinaitwa Hullabaloo estate.

Still wanatoa vitu adimu.
 
Back
Top Bottom