TANZIA Aliyewahi kuwa mwendesha mashtaka mkuu wa kipindi cha Vioja Mahakamani Afariki Dunia

TANZIA Aliyewahi kuwa mwendesha mashtaka mkuu wa kipindi cha Vioja Mahakamani Afariki Dunia

View attachment 2454684

Kwa wale wa penzi wa vichekesho na burudani.

Bwana Gibson Gathu Mbugua ambae alikua akiigiza kama mwendesha mashtaka Mkuu wa kipindi cha Vioja Mahakamani huko Kenya amefariki Dunia.

Kipindi cha Vioja Mahakamani kilikua kipindi cha vichekesho kilichokua kinarushwa na televisheni ya taifa la Kenya, KBC Chaneli 1.

Bwana Gibson ndie alikua mwendesha mashtaka mkuu wa hicho kipindi cha burudani.

Pumzika kwa amani bwana Gibson. Umenifurahisha sana enzi zako ukiwa na team yako kina olekzanda Josephat, Ondieki, Makoha, na wengine.

Such a good man, rest in peace prosecutor
 
Aloooh!! Hiki ndicho kipindi pekee kilichokuwa kikinichekesha.
Apumzike kwa amani, hakika kazi ya kutuburidisha waliifanya vyema.
 
Apumzike kwa amani! Asilimia kubwa ya Wakenya ni wachekeshaji.
 
Hadi ma pastor kanisan..yaan ukuje na stress zako uende pio eere spiritual cntr ukarudi nayo wee ukufee tu..
past akiingiaa kwa church lazina mcheke ajaanza kufundisha nasemaaaaaaaaaaaaa muaacheee ukoraaaaaaaaa aminayarabi naona wazinzi wamekaa kimya nakuja na kwenu muaaacheeeee.........kanisa kmyaa muaaache...wawili wanaitikia uZINZIIIIIIIII .(siowewe)

.YAAN WAZINZI KANISANI WASIPOCHEKA HAPO HAWAACHI UZINZI HADI WAMBEYA LAZIMA WACHEKE
#SIOMCHEKESHAJI NAONGELEA WAKEII PLS...

Apumzike kwa amani! Asilimia kubwa ya Wakenya ni wachekeshaji.
 
View attachment 2454684

Kwa wale wa penzi wa vichekesho na burudani.

Bwana Gibson Gathu Mbugua ambae alikua akiigiza kama mwendesha mashtaka Mkuu wa kipindi cha Vioja Mahakamani huko Kenya amefariki Dunia.

Kipindi cha Vioja Mahakamani kilikua kipindi cha vichekesho kilichokua kinarushwa na televisheni ya taifa la Kenya, KBC Chaneli 1.

Bwana Gibson ndie alikua mwendesha mashtaka mkuu wa hicho kipindi cha burudani.

Pumzika kwa amani bwana Gibson. Umenifurahisha sana enzi zako ukiwa na team yako kina olekzanda Josephat, Ondieki, Makoha, na wengine.

Hajaachaaa hata urithi mpedwa fwatiliq na hilii kuna nduguzake humu
 
Apumzike kwa Amani, mie pia nilikuwa mfuatiliaji mzuri sana wa kipindi chao.
 
Apumzike kwa amani,nilipenda sana kipindi chao,walifanya kazi nzuri ya kutufurahisha
 
Back
Top Bottom