Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Such a good man, rest in peace prosecutorView attachment 2454684
Kwa wale wa penzi wa vichekesho na burudani.
Bwana Gibson Gathu Mbugua ambae alikua akiigiza kama mwendesha mashtaka Mkuu wa kipindi cha Vioja Mahakamani huko Kenya amefariki Dunia.
Kipindi cha Vioja Mahakamani kilikua kipindi cha vichekesho kilichokua kinarushwa na televisheni ya taifa la Kenya, KBC Chaneli 1.
Bwana Gibson ndie alikua mwendesha mashtaka mkuu wa hicho kipindi cha burudani.
Pumzika kwa amani bwana Gibson. Umenifurahisha sana enzi zako ukiwa na team yako kina olekzanda Josephat, Ondieki, Makoha, na wengine.
AsanteBwana makoa utampata hulabalu estate dstv 158 akiwa na yule mmasai na yule mzee anapenga kiingereza.
Duuh puff daddy ndani ya nyumba weweee[emoji16][emoji16]MKUU FWATILIA CONT ZA RAMBIRAMBI TUNATUMA WAPI MWAMBA NILIMPENDA SANA VIOJA VYAKE DAH
RIP G
Sahivi wengi wapo hukuAlfted dot Makoha
Pole sana kwa wafiwa.
Naona hawa wenzake bado wanatoa burudani ya vichekesho kupitia kipindi chao cha Hulabaloo Estate
Apumzike kwa amani! Asilimia kubwa ya Wakenya ni wachekeshaji.
Hajaachaaa hata urithi mpedwa fwatiliq na hilii kuna nduguzake humuView attachment 2454684
Kwa wale wa penzi wa vichekesho na burudani.
Bwana Gibson Gathu Mbugua ambae alikua akiigiza kama mwendesha mashtaka Mkuu wa kipindi cha Vioja Mahakamani huko Kenya amefariki Dunia.
Kipindi cha Vioja Mahakamani kilikua kipindi cha vichekesho kilichokua kinarushwa na televisheni ya taifa la Kenya, KBC Chaneli 1.
Bwana Gibson ndie alikua mwendesha mashtaka mkuu wa hicho kipindi cha burudani.
Pumzika kwa amani bwana Gibson. Umenifurahisha sana enzi zako ukiwa na team yako kina olekzanda Josephat, Ondieki, Makoha, na wengine.
Ila kabla yakufariki alipitia hali ngumu sana, chakushangaza alipofariki eti akazikwa kwa ufahari mkuuubwa wakati walishindwa kumpa akiwa mzimaMZEE ojwang alisha tangulia mbele za haki kitambo sana
Mvaa kimasai ni Alexander kama sikoseiHuyu ndiyo alikuwa sometimes anavaa kama mmasai?
Kina Olekisanda JosephatHawa watu walikuwa ni mafundi sana kwenye kuwasilisha kazi zao za sanaa!!
Na yule rasi aliyesemaga " si ni bora mtunyonge " anaitwaga nani?
KAWAIDA YETU walimwengu kuthamini maitiIla kabla yakufariki alipitia hali ngumu sana, chakushangaza alipofariki eti akazikwa kwa ufahari mkuuubwa wakati walishindwa kumpa akiwa mzima