TANZIA Aliyewahi kuwa Waziri wa Viwanda na Biashara katika serikali ya awamu ya tatu, Iddi Mohamed Simba afariki dunia

TANZIA Aliyewahi kuwa Waziri wa Viwanda na Biashara katika serikali ya awamu ya tatu, Iddi Mohamed Simba afariki dunia

Nakumbuka sana

Iddy Simba alikuwa Mwamba kweli kweli

Mwingine aliekalia kiti moto alikuwa Daniel Yona


Siku hizi hatuna Wanasiasa wenye uwezo wa Sampuli ile
Iddi Simba ni mmoja wa mawaziri Bold wa Mkapa ambaye alikubali kukalia "Kiti Moto" kuhojiwa. Mawaziri wengine wengi walikogopa kama kituo cha polisi.

Na wakati akiongea alikuwa very confident na authoritative commanding tone.

Innalillah wainna ilaihi rajiun
P

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe yule dada mwenye kizungu chake alikuwa mtoto wa huyu? R.I.P mzee Simba
Aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara katika Serikali ya awamu ya tatu, Idd Simba amefariki dunia leo.

Taarifa zilizothibitishwa na mtoto wake Sauda Simba Kilumanga zinasema Idd Simba amefariki katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) alipokuwa akipatiwa matibabu.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom