NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iddi Simba ni mmoja wa mawaziri Bold wa Mkapa ambaye alikubali kukalia "Kiti Moto" kuhojiwa. Mawaziri wengine wengi walikogopa kama kituo cha polisi.
Na wakati akiongea alikuwa very confident na authoritative commanding tone.
Innalillah wainna ilaihi rajiun
P
Aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara katika Serikali ya awamu ya tatu, Idd Simba amefariki dunia leo.
Taarifa zilizothibitishwa na mtoto wake Sauda Simba Kilumanga zinasema Idd Simba amefariki katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) alipokuwa akipatiwa matibabu.
Pole sana kwa fmilia ya Mzee Iddi Simba. He was such a refined man!Mzee wetu pumzika kwa amani..! Hii ni njia ya watu wote kupita...!
Kweli kabisa,kama Lionchawene alirudishwa akapewa muungano na baadae mambo ya ndani,basi huwa wanaangalia mwenye afadhali ila siyo boraNdani ya CCM hakujawahi kutokea waziri bora
In God we Trust
Naamini wapo ila tatizo ni waandishi wenye maswali ya sampuli ile na Media za kurusha vipindi vya kivile!. Media za siku hizi ni mwendo wa kusifu, sifa na mapambio.Siku hizi hatuna Wanasiasa wenye uwezo wa Sampuli ile
Sent using Jamii Forums mobile app
serikali
CHADEMA hamna wezi? mbona hatujamsikia papa akimtangaza mwana chadema yeyote kuwa mtakatifu?