Aliyezaa na bwana harusi aharibu harusi ya mwenzie kwa kupeleka mtoto aliyezaa na mwanaume huyo

Aliyezaa na bwana harusi aharibu harusi ya mwenzie kwa kupeleka mtoto aliyezaa na mwanaume huyo

Kuna wanawake wengi hupanda shari kuharibu ya wengine, kuna wenye midomo anaongea mpaka unapata homa, kuna wanao penda ugomvi kila wakati, hao wote ni aina ya wanawake ambao ni time bombs anapasuka kwa wakati wote.
Ni wa kupiga mimba ukiona imeanza kusogeasogea unaingia mitini unakua ushatimiza malengo yako utakuja kutafutana tena mtoto akishazaliwa tena yeye ndio atakutafuta kukwambia kuhusu mtoto wako
 
Single mother ni wanawake flani Malaya, wajeuri na Dharau zimewajaa ndiyo hao kutwa wanataka kukojozwa!
70% ya furaha ya maisha ya mwanamke ni kuolewa na kua na mme rasmi ila wakikosa ndoa ndo madhara hayo ya kuuza uchi kwa kila mtu kwa kutegemea ata muoa .
 
Ndo faida ya umalaya
Unamzalisha mtoto wa watu unamuacha unaenda kuoa kwingne

Amepata kile anasitahiri wakalee mtoto
 
Back
Top Bottom