stow away
JF-Expert Member
- Dec 5, 2022
- 11,073
- 21,945
Ni wa kupiga mimba ukiona imeanza kusogeasogea unaingia mitini unakua ushatimiza malengo yako utakuja kutafutana tena mtoto akishazaliwa tena yeye ndio atakutafuta kukwambia kuhusu mtoto wakoKuna wanawake wengi hupanda shari kuharibu ya wengine, kuna wenye midomo anaongea mpaka unapata homa, kuna wanao penda ugomvi kila wakati, hao wote ni aina ya wanawake ambao ni time bombs anapasuka kwa wakati wote.