Aliyezusha kuwa Samaki wa Ziwa Victoria wanahifadhiwa kwa maji ya Maiti akamatwe ashtakiwe, ni mchochezi

Uelewa wako mdogo,
Syo maji ya kuoshea maiti bali dawa ya kuhifadhia maiti.
Tofautisha hilo
 
Unataka nani achukue sheria? Wewe mahakamani hupajui? Si uende wewe ukamshtaki?
 
Duuh.

Unachokifanya hapa utakamatwa wewe.
 
Tunataka tujue uhusiano wa hayo maji na kusababisha kansa.
 
Unaweza Kumgusa Zabayanga Wewe?
 
Sayansi ya wapi hiyo mzee!?
 
Afya za watu sio kitu cha kuchezea, kama ni kweli watafiti wamegundua mabaki ya chemikali za kuhifadhia maiti ktk samaki, hatua kali zichukuliwe kwa wafanyabiashara wa samaki wanaofanya mchezo huo.
 
Hili ni jambo ambalo linahusu afya za wananchi na pia uchumi wa nchi.
Lahitaji kupewa umuhimu wa kipekee na uchunguzi ufanyike tupate ukweli.
Hata hivyo, ni lazima tuwe makini, tusipate tena report zinazoweza kupata majina kama "professorial rubbish"
 
Kuna prof. Mmoha SUA alikua anafanya utafiti kwenye hii ussue. Sijui kama amesha publish report yake. Nikiiona ntaileta hapa.

Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
 
Hiii ilikuwa mwaka 2017 watu wanahoji....
 
Maji ya kuoshea maiti (by composition) yanatofauti gani na maji yanayotokea bafuni?. .......tatizo ni "maiti" si ndiyo?
Alimaanisha ile dawa formalin wanayowekewa maiti ili isiharike mapema...
 
Samaki wa mwanza sitakaa nile tena, hawafai kwa afya ya binadamu!! Ni sawa na kula sumu!! Watu wajifunze kulinda afya za wengine!! Its horrible!!
Wa Bukoba au Musoma utawala? Wote wanatoka ziwa Victoria.
 
Kweli waTanzania Bado tumelala! Badala ya kuomba kupata uhakiki wa jambo Hilo au kufuatilia Kwa undani wanakohifadhia hao samaki! Mnamkamata na kuitwa mchochezi! Je wakija wakafa watu Nani alaumiwe??
My friend kuna wakati huwa nakubaliana na Trump kwamba we are shit hole [emoji874] countries... Imagine umepewa tip na second in command, ambaye kwa nafasi yake ana access na Intel information nyingi tuu Sasa badala ya kuifanyia uchunguzi wa kina, hata ikibidi kuunda tume ili kujua ukweli watu wanapinga, tena kwa kejeli na kashfa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…