Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uelewa wako mdogo,Hiyo taarifa nimeisikia sikia nikawaza nani amesema hayo maneno. Nikaacha kuagizia samaki ugali kwa mama nitilie.
Na kwa kweli nimetapika sana. Nlianza kuingiwa na hasira, chuki na dukuduku. Kiukweli nilichochewa sana. Nlichochewa kufanya jambo baya.
Leo nani kasema mambo shwari tu aliyetoa tamko alikurupuka. Sasa nashauri serikali isimwache aliyetoa tamko. Na kusababisha mimi mpaka leo niwatake hao samaki. Potelea pote na mpunga usiote.
Sheria ichukue mkondo wake kwa kweli.
Nawasilisha hoja.
Unataka nani achukue sheria? Wewe mahakamani hupajui? Si uende wewe ukamshtaki?Hiyo taarifa nimeisikia sikia nikawaza nani amesema hayo maneno. Nikaacha kuagizia samaki ugali kwa mama nitilie.
Na kwa kweli nimetapika sana. Nlianza kuingiwa na hasira, chuki na dukuduku. Kiukweli nilichochewa sana. Nlichochewa kufanya jambo baya.
Leo nani kasema mambo shwari tu aliyetoa tamko alikurupuka. Sasa nashauri serikali isimwache aliyetoa tamko. Na kusababisha mimi mpaka leo niwatake hao samaki. Potelea pote na mpunga usiote.
Sheria ichukue mkondo wake kwa kweli.
Nawasilisha hoja.
Tunataka tujue uhusiano wa hayo maji na kusababisha kansa.Wavuvi wengi ni washirikina. Maji ya kuoshea maiti yanayumika hata kwenye madini. Wachimba madini huoga maji ya kuoshea maiti ili kupata madini mengi. Makamu wa raisi hakuropoka, kachupa kadogo ka maji ya kuoshea maiti kanauzwa mpaka shilingi laki NNE. Hao wengine wanaficha aibu tu.
Unaweza Kumgusa Zabayanga Wewe?Hiyo taarifa nimeisikia sikia nikawaza nani amesema hayo maneno. Nikaacha kuagizia samaki ugali kwa mama nitilie.
Na kwa kweli nimetapika sana. Nlianza kuingiwa na hasira, chuki na dukuduku. Kiukweli nilichochewa sana. Nlichochewa kufanya jambo baya.
Leo nani kasema mambo shwari tu aliyetoa tamko alikurupuka. Sasa nashauri serikali isimwache aliyetoa tamko. Na kusababisha mimi mpaka leo niwatake hao samaki. Potelea pote na mpunga usiote.
Sheria ichukue mkondo wake kwa kweli.
Nawasilisha hoja.
Zabayanga
PM ambaye ni mzoefu zaidi kwa kutufunga kamba, hajashughulikiwa itakuwa VP!!!Kwa hiyo SERIKALI imshughulikie Makamu wa Raisi SI ndie alisema akiwa mwanza!!??
Scientifically hakuna ushuhuda wowote ( evidence) kuwa maji ya kuoshea maiti au dawa za kuhifadhi maiti ( Fomaline-(Formaldehyde) ) kuwa zina significant R/ship with Cancer diseases... utafiti bado unatakiwa kufanyika "why kanda ya ziwa kuna wagonjwa wengi wa Saratani....
My hypothesis:
1.uvuvi haramu kwa kutumia sumu
2. Low basin ( mercury &;Cynide kutoka kwenye migodi kutiririka ktk ziwa victoria kutokana na mifumo taka mibovu ndani ya mogodi)
Acha uhuyumnani watu tunagonga sato tena supu chukuchuku muda huuSamaki wa mwanza sitakaa nile tena, hawafai kwa afya ya binadamu!! Ni sawa na kula sumu!! Watu wajifunze kulinda afya za wengine!! Its horrible!!
Atupwe ziwa gani? Eyasi, Victoria au Eyasi ama Tanganyika?Tena akikamatwa afungiwe jiwe atupwe ziwani.
#MaendeleoHayanaChama
Kuna prof. Mmoha SUA alikua anafanya utafiti kwenye hii ussue. Sijui kama amesha publish report yake. Nikiiona ntaileta hapa.Scientifically hakuna ushuhuda wowote ( evidence) kuwa maji ya kuoshea maiti au dawa za kuhifadhi maiti ( Fomaline-(Formaldehyde) ) kuwa zina significant R/ship with Cancer diseases... utafiti bado unatakiwa kufanyika "why kanda ya ziwa kuna wagonjwa wengi wa Saratani....
My hypothesis:
1.uvuvi haramu kwa kutumia sumu
2. Low basin ( mercury &;Cynide kutoka kwenye migodi kutiririka ktk ziwa victoria kutokana na mifumo taka mibovu ndani ya mogodi)
Hiii ilikuwa mwaka 2017 watu wanahoji....Scientifically hakuna ushuhuda wowote ( evidence) kuwa maji ya kuoshea maiti au dawa za kuhifadhi maiti ( Fomaline-(Formaldehyde) ) kuwa zina significant R/ship with Cancer diseases... utafiti bado unatakiwa kufanyika "why kanda ya ziwa kuna wagonjwa wengi wa Saratani....
My hypothesis:
1.uvuvi haramu kwa kutumia sumu
2. Low basin ( mercury &;Cynide kutoka kwenye migodi kutiririka ktk ziwa victoria kutokana na mifumo taka mibovu ndani ya mogodi)
Alimaanisha ile dawa formalin wanayowekewa maiti ili isiharike mapema...Maji ya kuoshea maiti (by composition) yanatofauti gani na maji yanayotokea bafuni?. .......tatizo ni "maiti" si ndiyo?
Wa Bukoba au Musoma utawala? Wote wanatoka ziwa Victoria.Samaki wa mwanza sitakaa nile tena, hawafai kwa afya ya binadamu!! Ni sawa na kula sumu!! Watu wajifunze kulinda afya za wengine!! Its horrible!!
My friend kuna wakati huwa nakubaliana na Trump kwamba we are shit hole [emoji874] countries... Imagine umepewa tip na second in command, ambaye kwa nafasi yake ana access na Intel information nyingi tuu Sasa badala ya kuifanyia uchunguzi wa kina, hata ikibidi kuunda tume ili kujua ukweli watu wanapinga, tena kwa kejeli na kashfa...Kweli waTanzania Bado tumelala! Badala ya kuomba kupata uhakiki wa jambo Hilo au kufuatilia Kwa undani wanakohifadhia hao samaki! Mnamkamata na kuitwa mchochezi! Je wakija wakafa watu Nani alaumiwe??