Aliyezusha kuwa Samaki wa Ziwa Victoria wanahifadhiwa kwa maji ya Maiti akamatwe ashtakiwe, ni mchochezi

Narudia hapa kilichomaanishwa ni ile dawa formalin ambayo kazi yake ni kuzuia maiti isiharibike... Mimi nimeosha maiti, maiti huoshwa na maji ya kawaida na sabuni au nyie watu wote humu hamjawahi shuhudia maiti ikioshwa?? Maiti ikishaoshwa na kukaushwa na kupakwa mafuta ndiyo hudungwa sindano ya ile dawa ya formalin na kuvishwa nguo au sanda... Hivyo hoja hapa ni hiyo dawa...
 
Anaitwa Mpango, anza naye!
 
Je sheria zetu zinaruhusu yeye kushtakiwa akiwa amekalia kiti?
 
I WONT LIE NIMEOGOPA KILA HII KITU KABISA.
 
Makamu wa rais anapigwa chini mwezi huu ukimshika mama sharubu unatukosea wengi. Viva mama.
 
SI nimesikia na MAJI yenyewe yananywewa?au ni uzushi wadau?
 
Tatizo asilimia kubwa ya Watanzania ni wajinga , wapumbavu na mbumbumbu sana. Ni kweli FOMALIN (dawa inayotukika kuhifadhi maiti) inatumika sana kuhifadhi samaki na nyama ili visiharibike. Lakini kwasababu ya ujinga wa Watanzania mnapinga tu kwasababu huwa hamtaki kufanya utafiti wa kisayansi ili kujua ukweli. Mnapenda story za vijiweni sana .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…