Mburia
JF-Expert Member
- Jul 15, 2022
- 2,369
- 3,488
Narudia hapa kilichomaanishwa ni ile dawa formalin ambayo kazi yake ni kuzuia maiti isiharibike... Mimi nimeosha maiti, maiti huoshwa na maji ya kawaida na sabuni au nyie watu wote humu hamjawahi shuhudia maiti ikioshwa?? Maiti ikishaoshwa na kukaushwa na kupakwa mafuta ndiyo hudungwa sindano ya ile dawa ya formalin na kuvishwa nguo au sanda... Hivyo hoja hapa ni hiyo dawa...Wavuvi wengi ni washirikina. Maji ya kuoshea maiti yanayumika hata kwenye madini. Wachimba madini huoga maji ya kuoshea maiti ili kupata madini mengi. Makamu wa raisi hakuropoka, kachupa kadogo ka maji ya kuoshea maiti kanauzwa mpaka shilingi laki NNE. Hao wengine wanaficha aibu tu.