Aliyezusha kuwa Samaki wa Ziwa Victoria wanahifadhiwa kwa maji ya Maiti akamatwe ashtakiwe, ni mchochezi

Aliyezusha kuwa Samaki wa Ziwa Victoria wanahifadhiwa kwa maji ya Maiti akamatwe ashtakiwe, ni mchochezi

Wavuvi wengi ni washirikina. Maji ya kuoshea maiti yanayumika hata kwenye madini. Wachimba madini huoga maji ya kuoshea maiti ili kupata madini mengi. Makamu wa raisi hakuropoka, kachupa kadogo ka maji ya kuoshea maiti kanauzwa mpaka shilingi laki NNE. Hao wengine wanaficha aibu tu.
Narudia hapa kilichomaanishwa ni ile dawa formalin ambayo kazi yake ni kuzuia maiti isiharibike... Mimi nimeosha maiti, maiti huoshwa na maji ya kawaida na sabuni au nyie watu wote humu hamjawahi shuhudia maiti ikioshwa?? Maiti ikishaoshwa na kukaushwa na kupakwa mafuta ndiyo hudungwa sindano ya ile dawa ya formalin na kuvishwa nguo au sanda... Hivyo hoja hapa ni hiyo dawa...
 
Hiyo taarifa nimeisikia sikia nikawaza nani amesema hayo maneno. Nikaacha kuagizia samaki ugali kwa mama nitilie.

Na kwa kweli nimetapika sana. Nlianza kuingiwa na hasira, chuki na dukuduku. Kiukweli nilichochewa sana. Nlichochewa kufanya jambo baya.

Leo nani kasema mambo shwari tu aliyetoa tamko alikurupuka. Sasa nashauri serikali isimwache aliyetoa tamko. Na kusababisha mimi mpaka leo niwatake hao samaki. Potelea pote na mpunga usiote.

Sheria ichukue mkondo wake kwa kweli.
Nawasilisha hoja.
Anaitwa Mpango, anza naye!
 
Je sheria zetu zinaruhusu yeye kushtakiwa akiwa amekalia kiti?
 
Hiyo taarifa nimeisikia sikia nikawaza nani amesema hayo maneno. Nikaacha kuagizia samaki ugali kwa mama nitilie.

Na kwa kweli nimetapika sana. Nlianza kuingiwa na hasira, chuki na dukuduku. Kiukweli nilichochewa sana. Nlichochewa kufanya jambo baya.

Leo nani kasema mambo shwari tu aliyetoa tamko alikurupuka. Sasa nashauri serikali isimwache aliyetoa tamko. Na kusababisha mimi mpaka leo niwatake hao samaki. Potelea pote na mpunga usiote.

Sheria ichukue mkondo wake kwa kweli.
Nawasilisha hoja.
I WONT LIE NIMEOGOPA KILA HII KITU KABISA.
 
Makamu wa rais anapigwa chini mwezi huu ukimshika mama sharubu unatukosea wengi. Viva mama.
 
Scientifically hakuna ushuhuda wowote ( evidence) kuwa maji ya kuoshea maiti au dawa za kuhifadhi maiti ( Fomaline-(Formaldehyde) ) kuwa zina significant R/ship with Cancer diseases... utafiti bado unatakiwa kufanyika "why kanda ya ziwa kuna wagonjwa wengi wa Saratani....
My hypothesis:
1.uvuvi haramu kwa kutumia sumu
2. Low basin ( mercury &;Cynide kutoka kwenye migodi kutiririka ktk ziwa victoria kutokana na mifumo taka mibovu ndani ya mogodi)
SI nimesikia na MAJI yenyewe yananywewa?au ni uzushi wadau?
 
Tatizo asilimia kubwa ya Watanzania ni wajinga , wapumbavu na mbumbumbu sana. Ni kweli FOMALIN (dawa inayotukika kuhifadhi maiti) inatumika sana kuhifadhi samaki na nyama ili visiharibike. Lakini kwasababu ya ujinga wa Watanzania mnapinga tu kwasababu huwa hamtaki kufanya utafiti wa kisayansi ili kujua ukweli. Mnapenda story za vijiweni sana .
 
Back
Top Bottom