Aliyoyasema Amri Kiemba ni madai mazito na hatari kwa soka letu, yachunguzwe

Aliyoyasema Amri Kiemba ni madai mazito na hatari kwa soka letu, yachunguzwe

Kiemba asipuuzwe hata kidg anachokisema inawezekana tatizo ni kubwa kuliko hata tunavyofikiri pia aliwahi kusema kuhusu timu ya taifa kwamba ukiitwa timu ya taifa usipotoa Asilimia fulani ya posho utakazopata huko hautakaa uitwe tena tena pesa hizo zinapokelewa pale TFF hiyo ni kuanzia kocha mpaka wachezaji.
Nafahamiana na wachezaji wengi wanaocheza ligi kuu. Alichokisema kiemba ni kweli.

Njoo viwanja vya mabatini utakutana na wachezaji wa VPL utapiga nao story Sana kuhusu hili suala.

Umesahau issue iliyomtoa SINGANO Simba kwenda Azam ? Ule mkataba watu walikuwa na percentage!
 
ndugu siyo wakati wa usajili tu wengine hadi mshahara unapigwa panga kila mwezi we huoni ikifika kipindi cha usajili utashangaa sajili nyingine zinazofanywa mimi shabiki la simba ila sikuelewa kabisa usajili wa morrison na mahela aliyopewa unadhani yote yale atayachukua morisson peke yake?
 
Hili lipo,ule msimu simba inapandisha juniors kina ndemla,mkude and co. Yule julio aliwapiga sana hela ila kunadogo wa familia ya pazi ndy alimgomea live coz dogo anajua faza zake wanajuana na julio so hakuogopa
 
Julio nlimwona Kigogo kaenda kusaoimia maskan kwao na BMW kali, nkajiuliza ule ujanja ujanja wake nkiunganisha na hii mada...kuna kaukwel hivi!
 
Hiyo Tabia alikuwa nayo Sana Jamhuri Kihwelu "Julio"...

Huyu amerostisha Sana wachezaji wa tanzania. Pale Simba alipiga Sana mapanga wachezaji. Alivyoenda Mwadui kawapiga Sana panga wachezaji. Kama kweli TFF inania ya kuinua soka ishirikiane na vyombo vya dola kuwakamata na kuwafunga makocha Aina ya Julio na viongozi Aina ya Julio. Wamejaa tele wengine tunashindwa kuwaanika hadharani. Ila huyo Julio nimemuanika maana ni moja ya wanaohusudu Sana huo upumbavu.
 
bro hii ni dunia nzima Luc eymael wa yanga,mwinyi zahera ni kama ma agents kabisa wa wachezaji...amunike kule misri kuna dereva teksi aliwasanua viongozi wa tff kamsikia mwarabu mmisri agent wa amunike akiongea kiarabu kwenye simu na mtu wana discuss taifa stars ifungwe magoli ya kutosha kuhsu mambo ya kamari
 
Acha upumbavu wewe. Unaongea usilolijua.
Huwezi kujustify uhuni kwa uhuni. Kinachofanywa ni uhuni serikali lazima iingilie kati. Hiyo mifano yako ni irrelevant.

Hatuwezi kuacha kukemea wizi mtaani kwetu kwasababu mtaa wa jirani Kuna wezi wengine huo ni upumbavu.

Wachezaji wetu wanaishi maisha ya kuunga unga kwa upumbavu. Halafu hapa hatuzungumzii agents wa mpira maana hao wako dunia nzima hapa tunazumgumzia wahuni wanaonyonya wachezaji.

Mtu anakwambia ili nikusajili inabidi kwenye mshahara wake asilimia flani itakuwa ya kwangu. Na ili niwe nakupanga inabidi asilimia flani iwe yangu. Huo ndio U-agent ?
 
Usiku ni Sports Xtra.
Jana ni Sports Roundup na kinafanyika saa 7-8 mchana siku ya Jumapili.
Mleta uzi anaongelea Sports Roundup
Samahani ilikua ni mchana sports roundup. The content remain the same
 
Back
Top Bottom