kishumbaz
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 1,183
- 1,619
mpira wa bongo unaendeshwa na taasisi iliyojaa wahuni, bila hawa wahuni kutolewa kwa kungo' a mizizi na securities walizojiwekea, soka la bongo kuendelea ni ndoto.Ndio Siri hiyo nimekupa na Kama wanapita humu wathubutu kubisha tumwage mboga.
Mpira wa bongo Ni magumashi wachezaji wananyonywa sana. Kuna Mambo nikiandika huwezi kuamini Kama yanafanywa na wadau maarufu unaowajua.