Aliyoyasema Kenyatta juu ya Ruto tayari yanafukuta

Kuhabarisha kuna shida gani? You need to know the world around you! hajakosea kwa lolote
Hapana Mkuu. Jamaa kakosea. Hizi chuki dhidi ya Ruto siyo nzuri. Mtu ni juz tu kaula. Haya anatakiwa aandike baada ya siku mia baada ya tasmin. Kumbuka uhuru kaondoka Hazina hamna kitu. Kaka yangu brazaj apunguze hasira.

Ruto the fifth
 
Ulimakafu
 

Mkuu tuko pamoja. Tukijifunza yote kama yanavyotujia, kiroho safi:

Tunayo ya kujifunza kwa Raila, baba wa demokrasia, Kenya

Ruto ana funzo kwetu dhidi ya walamba asali

Cc: Stefano Mtangoo
 
Fuel subsidy sio njia ya muda mrefu ya kukabiliana na tatizo la bei ya mafuta, hapa kwetu mama kajitutumua kuweka bilioni kadhaa kila mwezi ila hali ikiendelea kuwa kama hivi ataiondoa tutarudi kwenye uhalisia. So kwa nini upoteze muda kwenye solution za muda mfupi kwenye tatizo lisilo na dalili za kuisha??.. Inataliwa utafute suluhisho la kudumu na ndio anachokifanya Hustler.
 
Pole, wewe endelea na makasiriko yako.

Kwetu baharini ndugu. Raha twajipa wenyewe. Raha yetu ipo kwenye kufuatilia mambo kama Waberoya wa zama za Yesu (Matendo 17:11-12), na tunafuatilia kweli kweli.

Habari ndiyo hiyo.
Cc Waberoya
 

Bei halisi ya mafuta hadi hapa nchini CIF haifiki 1,500/- @ lita. Kuna kodi na tozo zenye majina yake tofauti ya kutafuta kwa tochi zenye kuifikisha bei hizi huku tulipo.

Mama anaweka ruzuku kutoka wapi? Si aseme tu kuna tozo chache kazipunguza kiasi?

Haya mambo mengine mwambieni awe na japo aibu kidogo kwenye kujaribu kudanganya watu wazima.
 
Jitahidi usiwe unavuta bangi mbichi
 
Jitahidi usiwe unavuta bangi mbichi

Ruto kama vile huyu wenu ni nwo project, wanafwata agenda 2030 main agenda ni depopulation of Afrika, Tanzania imeshaanza, sensa haikuwa sensa kama mnavyoamini/niswa, njaa ya kutengeneza inakuja, magonjwa na chanjo za lazima sasa hivi wameshaanza kubeep na surua TZ next ni ebola, …
 
Msaada je hayo magari yanatembea na hayo mabango au nimeona vingine
 
Sasa mtu anakwambia anataka chama chake kiwe Kama CCM?
Sasa chama kimejaa vibaka na wewe unakichukulia Kama Cha mfano!!yaani chama ambacho watanzania wanakilaani yeye anataka kurithi mfumo wake.Alafu na yule Makamu wake anaonekana chenga tu!
Ahahaaaa anaitwa Rigathi Gachagua aka Riggy boy
 
Kwani hauna kichwa
 
Watu wenye akili kama zako ni hasara tu kwa taifa, na mkiwa wengi ni hasara kubwa zaidi.
 
Minyumbu ya Chadema wana mental hysteria all the way across the borders, i thought may be for local politics only, kumbe ukiwa nyumbu is for local and international, vichwa vibuyu tupu, pumbaf..!! But i am not amazed, if their Chairman is F6 Div 0, his followers must be below that in IQ, mtajua wenyewe huko, U have no IQ.
 

Nyerere aliwaongelea kwa ufasaha watu kama wewe:

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…