Kwanini Marekani, Canada, Europe, Australia, na nchi zote hazifanyi hivyo?, wajaribu kufanya hivyo hata wiki moja tu waone kitakachotokea, hata huyo Uhuru Kenyatta mwenyewe ataacha urais na kukimbilia huko, hivi Somalia leo wakifungua mipaka yake, nani aende huko?, nani anataka kwenda kuishi Kenya, nchi yenye matatizo lukuki? mauaji ya kiholela na ukabila?, kamwe asitulaghai, nchi wameivuruga hakuna anayetaka kwenda ndiyo anajaribu kutuingiza choo cha kike.SISI KAMA CHADEMA TUNAMATAKA MAGUFURI ARUHUSU WATU WA NCHIZ ZINGINE KUINGIA BURE NCHINI,,KUNUNUA ARDHI,KUOMBA KAZI NA KUFANYA BIASHAHARA ILI TUENDANE NA KASI YA USHINDANI
Hiyo ya kununua Ardhi hapana aseeee.SISI KAMA CHADEMA TUNAMATAKA MAGUFURI ARUHUSU WATU WA NCHIZ ZINGINE KUINGIA BURE NCHINI,,KUNUNUA ARDHI,KUOMBA KAZI NA KUFANYA BIASHAHARA ILI TUENDANE NA KASI YA USHINDANI
Hahhaha..natamani Somalia ingizwe EAC uone jinsi wakenya watakavyo reverse hiyo sheria. Hata hivyo masharti yakupata hiyo ID yakoje?President Uhuru Kenyatta has said all African nationals now to get visa on arrival in kenya, the policy not pegged on reciprocity.
At the same time, EAC nationals can now live, work, marry , buy property and land in Kenya without any hindrance. You only need your national ID,in short automatic green card for EAC nationals.
We, Tanzania, will never enter that trap of H.E. Uhuru Kenyatta. Sometimes, embargoes protect!
There are a lot of Somalis in Kenya, and they are very entrepreneurial lot. We will be glad to have them in kenya.Hahhaha..natamani Somalia ingizwe EAC uone jinsi wakenya watakavyo reverse hiyo sheria. Hata hivyo masharti yakupata hiyo ID yakoje?