All East African Citizens to enjoy equal rights as Kenyans in kenya, only need national ID card.

All East African Citizens to enjoy equal rights as Kenyans in kenya, only need national ID card.

At the same time, EAC nationals can now live, work, marry , buy property and land in Kenya without any hindrance. You only need your national ID,in short automatic green card for EAC nationals.
Hao wakenya wanabaguana kikabila,nani anataka kuinvest kwenye isio salama kama kenya
 
Kisa cha kutufanya tukachinjwe na mungiki yake ni nini, wanawake? Labda angesema hivyo kageme watu tungeshituka kidogo.
 
Great move! what a genius Uhuru! hawa wakenya wana akili sana wenzetu! sisi bado tutabakia kusema tuna utajiri sana kila kukicha halafu tunakula mavi ya kuku na pumba! we need to cling on with the current pace! Well done Kenyans!
Sio Genius anataka kuudhibiti uchumi wa nchi jirani kwa kuzielekeza rasilmali mbalimbali Kenya. Ardhi ipo Tanzania wapi kwingine. Siasa uchumi ya Tanzania imekua tishio.
 
Eti kasema tukaoe huo........nani wa kuoa hao madumejike wanaodunda waume zao hivyo???? wakae huko huko waoane wenyewe
 
Kweli kaka, hao jamaa wanatutega ili tuingie cha kike, ila kwa Magu hawatafua dafu
Kwani wameweka sharti la kuwa lazima na wao waje nchini mwako ndo wewe uende??

Acheni mawazo mgando hayo kujiona wajanja kumbe hamna kitu
 
Mimi, kama Mtanzania, ninahisi aibu kwa Mtanzania mwenzangu kuandika Kiswahili kibovu kiasi hiki, tena kwenye jukwaa la Wakenya.
Dah hata mie nimeshtuka jombaa. Kiswahili chake nilipokiona nilidhani ni mkenya mwenzangu, yaani amechapia kiswahili cha kule ndani Ukambani ameandika kuwa yeye ni muyanzania. Hehe sijui hiyo ni nchi gani.
 
Aisee, ni ajabu sana! Sijui shule alifuata nini!
 
SISI KAMA CHADEMA TUNAMATAKA MAGUFURI ARUHUSU WATU WA NCHIZ ZINGINE KUINGIA BURE NCHINI,,KUNUNUA ARDHI,KUOMBA KAZI NA KUFANYA BIASHAHARA ILI TUENDANE NA KASI YA USHINDANI
Huu uchonganishi mkuu jaribu kuwa mwana demokrasia kidogo
 
SISI KAMA CHADEMA TUNAMATAKA MAGUFURI ARUHUSU WATU WA NCHIZ ZINGINE KUINGIA BURE NCHINI,,KUNUNUA ARDHI,KUOMBA KAZI NA KUFANYA BIASHAHARA ILI TUENDANE NA KASI YA USHINDANI
Ushindani wa ndani tuu unawashinda sembuse wa nje.

Huoni kutwa vijana wanavyolalama hawana ajira wakati Kuna mamilioni ya heka hayana wakuyalima.
 
SISI KAMA CHADEMA TUNAMATAKA MAGUFURI ARUHUSU WATU WA NCHIZ ZINGINE KUINGIA BURE NCHINI,,KUNUNUA ARDHI,KUOMBA KAZI NA KUFANYA BIASHAHARA ILI TUENDANE NA KASI YA USHINDANI

Wewe sio Mtanzania, kiswahili chako kibovu mno.
 
Matajiri kama Manji wote watakimbilia Kenya, usiniulize kwa nini, the time will say

Una kichaa! Land ni ya kumwaga Tanzania na bei chee pili constitutionally, kila mtanzania ana haki ya kupata radhi hekari kadhaa kwa kilimo.

halafu nipoteze hela nikanunue land kwa bei mbaya jangwani Kenya nikijichanganya wauwaji? una kichaa
 
Great move! what a genius Uhuru! hawa wakenya wana akili sana wenzetu! sisi bado tutabakia kusema tuna utajiri sana kila kukicha halafu tunakula mavi ya kuku na pumba! we need to cling on with the current pace! Well done Kenyans!
So ugenius gani hapo Kenyata karopoka alikuwa na furaha ya kufikia hatua ya mwisho ya wizi wake wa kura.Ngoja waTz tuliochoka kuisoma namba twenzetu tukawaige ngeta wakenya.Hata kwako huwezi kuruhusu kuingia ovyo ovyo kwa wageni hata kama ni majirani zako itakucost tu na kama haitakucost basi itawacost watoto zako mule kwenye nyumba.
 
Sisi tunamkaushia haturuhusu uingiaji wa namna hiyo wakenya ni wazuri ku utilise oportunities ukilinganisha na nchi wanachama za East African community
 
Back
Top Bottom