All East African Citizens to enjoy equal rights as Kenyans in kenya, only need national ID card.

All East African Citizens to enjoy equal rights as Kenyans in kenya, only need national ID card.

Kwanini Marekani, Canada, Europe, Australia, na nchi zote hazifanyi hivyo?, wajaribu kufanya hivyo hata wiki moja tu waone kitakachotokea, hata huyo Uhuru Kenyatta mwenyewe ataacha urais na kukimbilia huko, hivi Somalia leo wakifungua mipaka yake, nani aende huko?, nani anataka kwenda kuishi Kenya, nchi yenye matatizo lukuki? mauaji ya kiholela na ukabila?, kamwe asitulaghai, nchi wameivuruga hakuna anayetaka kwenda ndiyo anajaribu kutuingiza choo cha kike.
Wewe nani alikuambia hawafanyi hivyo Europe?. Europe hakuna restriction za kununua Ardhi au nyumba. wenyewe mnashindwa kununua tu. Ardhi inalipiwa kodi, namaanisha ukinunua nyumba lazima Kila mwaka ulipie kodi
 
Uhuru anaona mbali, anajua mimi na wewe hatutoweza kununua Ardhi, wenye uwezo wa kununua Ardhi ni Matajiri, na matajiri ni Mtaji kwa nchi yoyote isipokuwa Tanzania.
Tanzania munashindwa kuwapatia fursa madiaspora tuambao ni Watanzania wa kuzaliwa muje muwape fursa hio wakenya?
Tanzania mmezidiwa na choyo tu na uhasidi tu
 
Wewe nani alikuambia hawafanyi hivyo Europe?. Europe hakuna restriction za kununua Ardhi au nyumba. wenyewe mnashindwa kununua tu. Ardhi inalipiwa kodi, namaanisha ukinunua nyumba lazima Kila mwaka ulipie kodi
Europe kabla ya kufikia huko, walipita kipindi kirefu sana kurekebisha sera na taratibu za nchi zao ili zilingane, pamoja na kwamba karibu nchi zote za western Europe zilikuwa zinatumia siasa ya kibepari. Sisi na Kenya tunatofauti sana ya sera na sheria za umilikaji wa mali na ardhi, hivyo ni sawa Kenya kufanya hivyo walivyofanya, na sisi ni sawa kubaki hivi tulivyo.

Lakini kumbuka Kenya kila siku inabambeleza South Africa ili waweze kuingia South Africa bila visa, kama ambavyo, South Africans wanavyoingia Kenya bila visa, lakini South Africa imekataa kuruhusu hilo, it seems that Kenyans are desperate, very sad indeed.
 
President Uhuru Kenyatta has said all African nationals now to get visa on arrival in kenya, the policy not pegged on reciprocity.

At the same time, EAC nationals can now live, work, marry , buy property and land in Kenya without any hindrance. You only need your national ID,in short automatic green card for EAC nationals.
Diversity is absolute good.
 
Hii nzuri ila sisi wayanzania tusijalibu hii, Kenya cha kupoteza hawana kwani ardhi yenyewe yote tayari inawenyewe, tuchukue hayo nengine lkn so mambo ya ardhi,
"igoistic mind" kwani kila mtanzania anamiliki aridhi?
 
SISI KAMA CHADEMA TUNAMATAKA MAGUFURI ARUHUSU WATU WA NCHIZ ZINGINE KUINGIA BURE NCHINI,,KUNUNUA ARDHI,KUOMBA KAZI NA KUFANYA BIASHAHARA ILI TUENDANE NA KASI YA USHINDANI
[emoji20][emoji20][emoji20][emoji20]
 
Matajiri kama Manji wote watakimbilia Kenya, usiniulize kwa nini, the time will say
Duh sikufikiria hili, isijekuwa matajiri wa Tanzania na nchi zingine za Afrika ndio wanaitwa Kenya hivyo.Ni akili nzuri.
 
President Uhuru Kenyatta has said all African nationals now to get visa on arrival in kenya, the policy not pegged on reciprocity.

At the same time, EAC nationals can now live, work, marry , buy property and land in Kenya without any hindrance. You only need your national ID,in short automatic green card for EAC nationals.
Hii itapendeza sana
 
Hii nzuri ila sisi wayanzania tusijalibu hii, Kenya cha kupoteza hawana kwani ardhi yenyewe yote tayari inawenyewe, tuchukue hayo nengine lkn so mambo ya ardhi,

Mimi, kama Mtanzania, ninahisi aibu kwa Mtanzania mwenzangu kuandika Kiswahili kibovu kiasi hiki, tena kwenye jukwaa la Wakenya.
 
Back
Top Bottom