Hao wakenya wanabaguana kikabila,nani anataka kuinvest kwenye isio salama kama kenyaAt the same time, EAC nationals can now live, work, marry , buy property and land in Kenya without any hindrance. You only need your national ID,in short automatic green card for EAC nationals.
Mwenzake nani, makamu wa Rais??Uhuru yuko vizuri sema mwenzake amejawa sana usaliti na chuki na anamharibia kwa kiasi fulani.
Kweli kaka, hao jamaa wanatutega ili tuingie cha kike, ila kwa Magu hawatafua dafuHiyo ya kununua Ardhi hapana aseeee.
Sio Genius anataka kuudhibiti uchumi wa nchi jirani kwa kuzielekeza rasilmali mbalimbali Kenya. Ardhi ipo Tanzania wapi kwingine. Siasa uchumi ya Tanzania imekua tishio.Great move! what a genius Uhuru! hawa wakenya wana akili sana wenzetu! sisi bado tutabakia kusema tuna utajiri sana kila kukicha halafu tunakula mavi ya kuku na pumba! we need to cling on with the current pace! Well done Kenyans!
Kwani wameweka sharti la kuwa lazima na wao waje nchini mwako ndo wewe uende??Kweli kaka, hao jamaa wanatutega ili tuingie cha kike, ila kwa Magu hawatafua dafu
Dah hata mie nimeshtuka jombaa. Kiswahili chake nilipokiona nilidhani ni mkenya mwenzangu, yaani amechapia kiswahili cha kule ndani Ukambani ameandika kuwa yeye ni muyanzania. Hehe sijui hiyo ni nchi gani.Mimi, kama Mtanzania, ninahisi aibu kwa Mtanzania mwenzangu kuandika Kiswahili kibovu kiasi hiki, tena kwenye jukwaa la Wakenya.
Dah hata mie nimeshtuka jombaa. Kiswahili chake nilipokiona nilidhani ni mkenya mwenzangu, yaani amechapia kiswahili cha kule ndani Ukambani ameandika kuwa yeye ni muyanzania. Hehe sijui hiyo ni nchi gani.
Huu uchonganishi mkuu jaribu kuwa mwana demokrasia kidogoSISI KAMA CHADEMA TUNAMATAKA MAGUFURI ARUHUSU WATU WA NCHIZ ZINGINE KUINGIA BURE NCHINI,,KUNUNUA ARDHI,KUOMBA KAZI NA KUFANYA BIASHAHARA ILI TUENDANE NA KASI YA USHINDANI
Mbona ndo washaitawala nairobiHahhaha..natamani Somalia ingizwe EAC uone jinsi wakenya watakavyo reverse hiyo sheria. Hata hivyo masharti yakupata hiyo ID yakoje?
Ushindani wa ndani tuu unawashinda sembuse wa nje.SISI KAMA CHADEMA TUNAMATAKA MAGUFURI ARUHUSU WATU WA NCHIZ ZINGINE KUINGIA BURE NCHINI,,KUNUNUA ARDHI,KUOMBA KAZI NA KUFANYA BIASHAHARA ILI TUENDANE NA KASI YA USHINDANI
SISI KAMA CHADEMA TUNAMATAKA MAGUFURI ARUHUSU WATU WA NCHIZ ZINGINE KUINGIA BURE NCHINI,,KUNUNUA ARDHI,KUOMBA KAZI NA KUFANYA BIASHAHARA ILI TUENDANE NA KASI YA USHINDANI
Matajiri kama Manji wote watakimbilia Kenya, usiniulize kwa nini, the time will say
Mbona watanzania mnajiahtukia hivyo?
So ugenius gani hapo Kenyata karopoka alikuwa na furaha ya kufikia hatua ya mwisho ya wizi wake wa kura.Ngoja waTz tuliochoka kuisoma namba twenzetu tukawaige ngeta wakenya.Hata kwako huwezi kuruhusu kuingia ovyo ovyo kwa wageni hata kama ni majirani zako itakucost tu na kama haitakucost basi itawacost watoto zako mule kwenye nyumba.Great move! what a genius Uhuru! hawa wakenya wana akili sana wenzetu! sisi bado tutabakia kusema tuna utajiri sana kila kukicha halafu tunakula mavi ya kuku na pumba! we need to cling on with the current pace! Well done Kenyans!
Ili tugundue nini?TANZANIA LAZIMA TUFATE MFANO WA KENYA KAMA KENYETA NA SERA ZAKE ZA KUINGIA BURE NA KUKAA UNAVYTKA