Una jicho la mbali sana aisee hii itakuwa ni invitation kwa type hizo za watu sio masela kama feruzi au mr nice waliofuliaMatajiri kama Manji wote watakimbilia Kenya, usiniulize kwa nini, the time will say
Raisi hapimwi na kauli moja mkuu tulipe muda hilo tamko lakehuyu ndio Rais
Wewe usiwaze masuala ya ardhi wacha watanzania waende Kenya kujifunza maishaHii nzuri ila sisi wayanzania tusijalibu hii, Kenya cha kupoteza hawana kwani ardhi yenyewe yote tayari inawenyewe, tuchukue hayo nengine lkn so mambo ya ardhi,
Unajua Wasomali ni mojawapo ya makabila makubwa zaidi Kenya?Hahhaha..natamani Somalia ingizwe EAC uone jinsi wakenya watakavyo reverse hiyo sheria. Hata hivyo masharti yakupata hiyo ID yakoje?
Fala Wewe.............kwan nn wewe uliambiwa...achaneni na wakenya munawafuatilia sanaMwambie Kenyata offer zake cc waTz hatuzitaki fumbo mfumbie mjinga mwerevu ............samahani napitatu.
You are right brother huo ni mtego wa panyaHii nzuri ila sisi wayanzania tusijalibu hii, Kenya cha kupoteza hawana kwani ardhi yenyewe yote tayari inawenyewe, tuchukue hayo nengine lkn so mambo ya ardhi,
Yaahh baada ya kuona ile mission imefeli sasa wanataka kutudanganya kwa njia nyengine lkn kwa bahati mbaya Kenya hawana cha kutuvutaHatujasahau kitu yake ya coalition of the willing-northern corridor na kum sideline JK!
Wao wenyewe wamejazana kwenye nchi za watu kusaka maisha huko hamna cha maana wabaki tu na linchi laoYaahh baada ya kuona ile mission imefeli sasa wanataka kutudanganya kwa njia nyengine lkn kwa bahati mbaya Kenya hawana cha kutuvuta
Kuanzia
Ajira
ARDHI
Fursa mbali mbali
Wanawake wazuri
Mambo yote hapo huku bongo
Kenya hawana jipya
Sisi.uzuri.we2..2najikuna.2jipatapo...c.kama.nyinyi mujaa.Nairobi.ombaombaWao wenyewe wamejazana kwenye nchi za watu kusaka maisha huko hamna cha maana wabaki tu na linchi lao
You are right brother huo ni mtego wa panya
Wanataka kutumia mlango wa nyuma kupata malisho ya ngombe
Pia kutibu ugonjwa wa ukabila kwa inter marriage
Lkn its too late.
Wakusanyeni wakutosha muwape hio ardhi na ajiraSisi.uzuri.we2..2najikuna.2jipatapo...c.kama.nyinyi mujaa.Nairobi.ombaomba
Yes. Peasants, without the land they own, they would have been slaves."igoistic mind" kwani kila mtanzania anamiliki aridhi?
hivi huwezi changia bila kutaja tanzania my footAmesema no need for reciprocity coz he clearly knows reciprocity and Tanzania are like cat and mouse
in kenya no jobs,no land ,ugly kamba and kikuyi girls ofcoz cheap things are for free nani amuoe akotheeNo work permits, own land, marry etc to all neighbours
waanze kwanza marekani hiyo ni rahisi kenya na madagascarSISI KAMA CHADEMA TUNAMATAKA MAGUFURI ARUHUSU WATU WA NCHIZ ZINGINE KUINGIA BURE NCHINI,,KUNUNUA ARDHI,KUOMBA KAZI NA KUFANYA BIASHAHARA ILI TUENDANE NA KASI YA USHINDANI