All good men are married, so sad

Kuna msemo kua waume za watu smart huwa wanatengenezwa na wake zao. Pia kuna baadhi ya nyuzi humu wanaume wanakiri baada ya kukutana na mkewe tabia a,b,c kaziacha.

Sasa mkuu kupata mwenye izo sifa zote sio rahisi, mpate wa kwako ambae labda unaweza kuvumilia madhaifu yake na labda anaweza badilika akiwa na wewe. Utakuja kuuawa kudandia waume za watu hujui mke kapitia mangapi mpaka mumewe awe hivyo alivyo.

Na kua makini umri huo kuchezewa si busara.
 
Naona unamsemea Mungu bhna.

Uko Mbinguni hawajambo?.
 
u hav more than 30 years and unachagua mwanaume wakukuoa?? Hee utasugua kwata mtaani mpka uote sugu, wenzenu waliofikisha umri wa hiyo miaka hawanaga chaguo zaid ya kutaka mwanaume anayepumua tu, sasa we endelea kuchagua, uaribu historia ya maisha yako na kuichafua cv ya marehem mtarajiwa, alafu msomi kama wew unaweka vigezo vya imani za kidini, kwa hil uoni kama unajizibia mwenyewe chance ya wengine kukpata kwa kuweka vizingiti vya imani??
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hii user mbona mpya, ya July 16, nasikia harufu ya chai na gaha-wa kwa mbali
 
Daaah mimi huu ufupi huu[emoji45][emoji45][emoji45][emoji45][emoji45][emoji45]
 
Tatizo inawezekana unataka mtu ambaye kashajijenga tayari.

Mtu smart mwenye potential, ambaye hana kipato kikubwa ambaye mnaweza kukua pamoja ushawahi kumfikiria?
 
Una miaka35! Umeshakuwa bibi wewe, unataka mwanaume wa miaka37 awe smart...haupo serious wewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…