Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Kuna msemo kua waume za watu smart huwa wanatengenezwa na wake zao. Pia kuna baadhi ya nyuzi humu wanaume wanakiri baada ya kukutana na mkewe tabia a,b,c kaziacha.
Sasa mkuu kupata mwenye izo sifa zote sio rahisi, mpate wa kwako ambae labda unaweza kuvumilia madhaifu yake na labda anaweza badilika akiwa na wewe. Utakuja kuuawa kudandia waume za watu hujui mke kapitia mangapi mpaka mumewe awe hivyo alivyo.
Na kua makini umri huo kuchezewa si busara.