Son of Gamba
JF-Expert Member
- Oct 26, 2012
- 4,720
- 6,957
Na bado impact yake haijaanza kuonekana vizuri. Huu ni mwanzo tu. Baada ya miaka 10 kuanzia sasa tutaona matunda ya "women empowerment agendas".Madhara ya 50/50 ndo haya!
Nafikiri anatatizika na suala la mapenziTatizo inawezekana unataka mtu ambaye kashajijenga tayari.
Mtu smart mwenye potential, ambaye hana kipato kikubwa ambaye mnaweza kukua pamoja ushawahi kumfikiria?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwanini mlimchoma mwenzetu kwa moto????
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Niko hapa tatizo Mimi sio RC ni DC.
Ujumbe umefika hata kama unataniaKinywaji hutumii inamaana hata maji hunywi??? Mpaka hapo ushakosa vigezo inaonyesha wewe muongo! Na ukisema ni typing error au ulisahau kuweka vizuri maelezo Bado utakua hufai kwa matumizi ya Mke mmaana utakua upo Careless kwa vitu vidogo vidogo na muhimu.
Halafu hutakiwi kumuogopa Mungu bali anataka umtii na kumuheshimu. Kila siku anawambia mumfanye kua Rafiki yake maana yeye haogofyi mpaka mumuogope
Don't be mad at me natania tu!!
Hakuna kitu kilicho ta full potential (100%) All the Best mate👊
Ila JF bhana 🤣🤣🤣🤣Hurray... Nami nimo leo (45).... Naja huko.😍
Huu ushauri mzuri sanaKuna msemo kua waume za watu smart huwa wanatengenezwa na wake zao. Pia kuna baadhi ya nyuzi humu wanaume wanakiri baada ya kukutana na mkewe tabia a,b,c kaziacha.
Sasa mkuu kupata mwenye izo sifa zote sio rahisi, mpate wa kwako ambae labda unaweza kuvumilia madhaifu yake na labda anaweza badilika akiwa na wewe.
Utakuja kuuawa kudandia waume za watu hujui mke kapitia mangapi mpaka mumewe awe hivyo alivyo.
Na kua makini umri huo kuchezewa si busara.
Huyo anakuzidi miaka 10. Shauri yako[emoji23]Napenda sana wadada kama wewe
Ila me mdogooooo[emoji23]
Mimi bado mdogo mno kwako