Hiyo ni hadi Ramaphosa akalie kiti vilivyo, kisha amnong'onozee Mnangagwa, ndo ujumbe uwafikie JPM and wenzake. Hapo tayari mkutano utakuwa ushaisha! 😀SADC wanakutana lini?
Umesahau kuongeza jina la Tanzania na Uganda kwenye orodha ya nchi masikini na za shida tupu.Huo ni muungano wa nchi masikini na shida tupu, Burundi Sudani ya kusini Somalia Rwanda who will help who?
usikhofu sheikh kuna nchi ya viwanda itazisaidia hizo nyingine zote plus kenya.Huo ni muungano wa nchi masikini na shida tupu, Burundi Sudani ya kusini Somalia Rwanda who will help who?
Another failed state to join EAC?[emoji38] [emoji38] [emoji38]SADC wanakutana lini?
Kama Somalia ikijiunga, EA itakuwa na jumla ya nchi 3 ambazo ni failed states, Kenya, South Sudan na Somalia[emoji85] [emoji85] [emoji85]Umesahau kuongeza jina la Tanzania na Uganda kwenye nchi masikini na za shida tupu.
Tz is a sleeping giant...ambaye mpaka sasa hivi bado iko usingizini wala ajitambui no clear economic strategy for development no economic freedom for investors na sharia zilizo Pita nawakati......unauliza Kenya tuliomutangulia kila kitu kwanini anatuzidi kila sector ya uchumi?Umesahau kuongeza jina la Tanzania na Uganda kwenye nchi masikini na za shida tupu.
Kenya tunawabeba nyote mkiwa na wenzenu Somalia na Sudan Kusini na Uganda na Rwanda na Burundi kwenye orodha ya nchi maskini kupindukia duniani! Inafaa muwe mnatulipa kodi kila mwisho wa mwaka! 😀Kama Somalia ikijiunga, EA itakuwa na jumla ya nchi 3 ambazo ni failed states, Kenya, South Sudan na Somalia[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Vipi kuhusu failed states na nchi zenye njaa kali zinazohitaji chakula cha msaada?, Kenya, Somalia, South Sudan hazimo kwenye hiyo list?[emoji85] [emoji85] [emoji85]Kenya tunawabeba nyote mkiwa na wenzenu Somalia na Sudan Kusini na Uganda na Rwanda na Burundi kwenye orodha ya nchi maskini kupindukia duniani! Inafaa muwe mnatulipa kodi kila mwisho wa mwaka! 😀
Kenya will be officially the only Non LDC failed state in East and Central Africa.Another LDC state to join EAC?[emoji38] [emoji38] [emoji38]
vipi kuhusu Tanzania sio taifa lilofeliKama Somalia ikijiunga, EA itakuwa na jumla ya nchi 3 ambazo ni failed states, Kenya, South Sudan na Somalia[emoji85] [emoji85] [emoji85]
But will remain to be a long term member of failed states in east and central Africa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kenya will be officially the only Non LDC failed state in East and Central Africa.
Mbona SADC tumekaa mwakajana huko Lesotho. Makamu wa rais alimwakilisha mkuu wa nchi yetu?.SADC wanakutana lini?
Kenya will be officially the only Non LDC failed state in East and Central Africa.Another LDC state to join EAC?[emoji38] [emoji38] [emoji38]
Vipi kuhusu Tz ravaged by malnutrition, umasikini na 92% of Dar being a big massive slum with Slum Tourism?Vipi kuhusu failed states na nchi zenye njaa kali zinazohitaji chakula cha msaada?, Kenya, Somalia, South Sudan hazimo kwenye hiyo list?[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Kaka haya mambo hayako hivyo, kufaulu au kufeli maisha inatokana na juhudi zako. Kuwa failed state hujiamulii wewe, ni vigezo kama hujavifikia basi unakuwa failed state. Hawa wakenya ni vichaa sana, wao wanakubali na kufurahia walipotajwa kwamba ni middle income, lakini wanaumia na kuona uchungu wakitajwa kwamba ni failed state[emoji15] [emoji15] [emoji15]vipi kuhusu Tanzania sio taifa lilofeli
Mwanangagwe ndio nani?Hiyo ni hadi Ramaphosa akalie kiti vilivyo, kisha amnong'onozee Mwanangagwe, ndo ujumbe uwafikie JPM and wenzake. Hapo tayari mkutano utakuwa ushaisha! 😀
But is not a failed state like Kenya, we have enough food, water, security, employment, no slums, no corruption, no hunger, no tribalismKenya will be officially the only Non LDC failed state in East and Central Africa.
Vipi kuhusu Tz ravaged by malnutrition, umasikini na 92% of Dar being a big massive slum with Slum Tourism?