All is set for Somalia to join the EAC

All is set for Somalia to join the EAC

Cicero

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2016
Posts
2,924
Reaction score
3,074
Wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki watakutana wiki hii jijini Kampala kutoa msimamo wao kuhusu uanachama wa Somalia kwenye jumuiya hiyo.
Somalia imekuwa ikiomba na kukataliwa mara kwa mara.
Tusubiri tuone. Busara itumike tu.
More to follow....

Wakuu EAC kujadili ombi la Somalia
 
Umesahau kuongeza jina la Tanzania na Uganda kwenye nchi masikini na za shida tupu.
Tz is a sleeping giant...ambaye mpaka sasa hivi bado iko usingizini wala ajitambui no clear economic strategy for development no economic freedom for investors na sharia zilizo Pita nawakati......unauliza Kenya tuliomutangulia kila kitu kwanini anatuzidi kila sector ya uchumi?
 
Kama Somalia ikijiunga, EA itakuwa na jumla ya nchi 3 ambazo ni failed states, Kenya, South Sudan na Somalia[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Kenya tunawabeba nyote mkiwa na wenzenu Somalia na Sudan Kusini na Uganda na Rwanda na Burundi kwenye orodha ya nchi maskini kupindukia duniani! Inafaa muwe mnatulipa kodi kila mwisho wa mwaka! 😀
 
Kenya tunawabeba nyote mkiwa na wenzenu Somalia na Sudan Kusini na Uganda na Rwanda na Burundi kwenye orodha ya nchi maskini kupindukia duniani! Inafaa muwe mnatulipa kodi kila mwisho wa mwaka! 😀
Vipi kuhusu failed states na nchi zenye njaa kali zinazohitaji chakula cha msaada?, Kenya, Somalia, South Sudan hazimo kwenye hiyo list?[emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Another LDC state to join EAC?[emoji38] [emoji38] [emoji38]
Kenya will be officially the only Non LDC failed state in East and Central Africa.
Vipi kuhusu failed states na nchi zenye njaa kali zinazohitaji chakula cha msaada?, Kenya, Somalia, South Sudan hazimo kwenye hiyo list?[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Vipi kuhusu Tz ravaged by malnutrition, umasikini na 92% of Dar being a big massive slum with Slum Tourism?
 
vipi kuhusu Tanzania sio taifa lilofeli
Kaka haya mambo hayako hivyo, kufaulu au kufeli maisha inatokana na juhudi zako. Kuwa failed state hujiamulii wewe, ni vigezo kama hujavifikia basi unakuwa failed state. Hawa wakenya ni vichaa sana, wao wanakubali na kufurahia walipotajwa kwamba ni middle income, lakini wanaumia na kuona uchungu wakitajwa kwamba ni failed state[emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Hiyo ni hadi Ramaphosa akalie kiti vilivyo, kisha amnong'onozee Mwanangagwe, ndo ujumbe uwafikie JPM and wenzake. Hapo tayari mkutano utakuwa ushaisha! 😀
Mwanangagwe ndio nani?
 
Kenya will be officially the only Non LDC failed state in East and Central Africa.
Vipi kuhusu Tz ravaged by malnutrition, umasikini na 92% of Dar being a big massive slum with Slum Tourism?
But is not a failed state like Kenya, we have enough food, water, security, employment, no slums, no corruption, no hunger, no tribalism
 
Back
Top Bottom