pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Human resource, willingness to break all barriers and work extra hard is Kenya's biggest plus, not money! You guys just don't get it!you touched my heart brother especially when you said Kenyans think that everything can be solved so long as you have money. in matter of fact money is not everything, even at individual level money can not do everything for you.
we need to remember that.
Mpumbavu kama wewe hajawahi tokea humu ndani, mimi nimekuambia katika kuzisaidia nchi za Afrika kupigania uhuru, acha ujinga wewe, utawezaje kuihukumu nchi ambayo ilikuwa haijawa huru?.Lofa kabisa, unabadilisha gia angani baada ya kusema kwamba wakenya hawakumwaga damu ili kujikomboa kutoka kwa minyororo ya mkoloni. Hakuna vita vilivokuwa vya kihuni hapa Afrika zaidi ya vita vya MAU MAU dhidi ya mzungu na vile vya Menelik dhidi ya muitaliano. Tanzania mlikuwa wapi tukidondoshewa mabomu na mamilioni ya wakenya wakifungiwa kwenye 'Concentration Camps' za mkoloni? Bure kabisa.
If you work hard why you can't feed yourselves 54 yrs after independece?Human resource, willingness to break all barriers and work extra hard is Kenya's biggest plus, not money! You guys just don't get it!
Mpumbavu ni wewe hapo...Mpumbavu kama wewe hajawahi tokea humu ndani, mimi nimekuambia katika kuzisaidia nchi za Afrika kupigania uhuru, acha ujinga wewe, utawezaje kuihukumu nchi ambayo ilikuwa haijawa huru?.
Acha ujinga ninarudia, hakuna nchi ambayo haikupigana na wakoloni kabla ya uhuru, Tanzania kulikuwa na vita vingi tu kabla ya Uhuru, vikubwa ni vita na vya majimaji na vitaka kati ya wajerumani ambapo mara ya kwanza wajerumani walishindwa, na waliporudi mara ya pili wakamshinda mkwawa, vita vingi dhidi ya wakoloni vilikuwepo, lakini havikuwa vikiendeshwa na serikali huru yenye kupanga maamuzi ya nchi.
Hivi kwani wewe ni mjinga sana?, Kenya itauhukumiwa kama nchi kuanzia 1963, na Tanzania kuanzia 1961. Pia nchi haitahukumiwa kwa kile ilichokifanya kwa ajili ya manufaa yake bali kile ilichokifanya katika kusaidia wenzake, acha ujinga sometimes.
Jinga kabisa wewe, msalimie mkeo.Mpumbavu ni wewe hapo...
hivi wewe hujiona una akili sana kushinda wengine...kila kitu unaongea unaona uko sahihi..
.
Mara mingi uko wrong sanaaaaa.
End of this discussion.
Hao wote tumewapa Uhuru sisi[emoji23] Fuatilia history utaona South nani alimsaidiaHiyo ni hadi Ramaphosa akalie kiti vilivyo, kisha amnong'onozee Mnangagwa, ndo ujumbe uwafikie JPM and wenzake. Hapo tayari mkutano utakuwa ushaisha! 😀
If we feed ourselves, where will Tanzanian farmers get their money from? Jamaa wa kulima kwa majembe si watashindwa hata kuinua majembe yao? 😀If you work hard why you can't feed yourselves 54 yrs after independece?
My opinion (It's not a fact) is that hao watu wasikubaliwe kujoin EAC. Alshabab watajaa humu mitaani. Infact waendelee tu kuchinjana huko kwaoWakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki watakutana wiki hii jijini Kampala kutoa msimamo wao kuhusu uanachama wa Somalia kwenye jumuiya hiyo.
Somalia imekuwa ikiomba na kukataliwa mara kwa mara.
Tusubiri tuone. Busara itumike tu.
More to follow....
"Selfish mentality" hiyo.... hao wote nibinadamu.....Africa ni moja mualimu alisaidie nchi nyingi za kiafrica kupata uhuru na kupambana na ubaguzi wa Somali ni Watu kama sisiMy opinion (It's not a fact) is that hao watu wasikubaliwe kujoin EAC. Alshabab watajaa humu mitaani. Infact waendelee tu kuchinjana huko kwao
Kwa matusi haya ni wazi kwamba sindano imekuingia. Matusi hayabadili uhalisia wa mambo. Akili zako unazielewa mwenyewe. Mara unasema kwamba Tz haiwiezi hukumiwa kwa mambo yaliyofnyika kabla ya uhuru, baada yake unatumia hiyo hiyo historia kuendeleza pumba zako. Kwani baada ya uhuru kuna watu wapya ambao walihama wakaingia na kuchukua nafasi ya wakazi wa Tz? MAU MAU haikupigania uhuru wa wasomalia. Damu walomwaga ndo inafanya hadi sasa tujiite wakenya ndani ya nchi ya Kenya. Ikifika kwenye ukombozi wa mtu mweusi dhidi ya ukoloni wa mzungu, usijaribu tena siku nyingine kulinganisha Kenya na mambo ya kipuuzi!Mpumbavu kama wewe hajawahi tokea humu ndani, mimi nimekuambia katika kuzisaidia nchi za Afrika kupigania uhuru, acha ujinga wewe, utawezaje kuihukumu nchi ambayo ilikuwa haijawa huru?.
Acha ujinga ninarudia, hakuna nchi ambayo haikupigana na wakoloni kabla ya uhuru, Tanzania kulikuwa na vita vingi tu kabla ya Uhuru, vikubwa ni vita na vya majimaji na vitaka kati ya wajerumani ambapo mara ya kwanza wajerumani walishindwa, na waliporudi mara ya pili
Kumbe kusaidia ndo kupeana uhuru? Haya basi, mbona sasa hivi wao pia hawawasaidi kupata uhuru wenu wa kichumi na kimaendeleo? Yaani wamewatupa kuule, sasa hivi wanapaa wakiwa pekee yao. Au usaidizi mlowapa hawakuwa wanauhitaji sana?Hao wote tumewapa Uhuru sisi[emoji23] Fuatilia history utaona South nani alimsaidia
Sijui huwa wanashindana na nani kujaza server na upumbavu na ujinga. Consistently very wrong! Product za St. Kayumba, bila shaka!Mpumbavu ni wewe hapo...
hivi wewe hujiona una akili sana kushinda wengine...kila kitu unaongea unaona uko sahihi..
.
Mara mingi uko wrong sanaaaaa.
End of this discussion.
Wao wanadhani ni kile kikombe cha Babu wa Loliondo! 😀Tanzanians need to know that the biggest resource kenya has is the people. We always forge ahead despite all the challenges.
Well...yes and no, we still have Rwanda and Burundi they don't see eye to eye. And there problems are far less than Kenya-Somalia which involved lucrative oceanic area.I think Somalia joining the EAC will water down the dispute.....with all the free movement and shared resources