Mpumbavu kama wewe hajawahi tokea humu ndani, mimi nimekuambia katika kuzisaidia nchi za Afrika kupigania uhuru, acha ujinga wewe, utawezaje kuihukumu nchi ambayo ilikuwa haijawa huru?.
Acha ujinga ninarudia, hakuna nchi ambayo haikupigana na wakoloni kabla ya uhuru, Tanzania kulikuwa na vita vingi tu kabla ya Uhuru, vikubwa ni vita na vya majimaji na vitaka kati ya wajerumani ambapo mara ya kwanza wajerumani walishindwa, na waliporudi mara ya pili wakamshinda mkwawa, vita vingi dhidi ya wakoloni vilikuwepo, lakini havikuwa vikiendeshwa na serikali huru yenye kupanga maamuzi ya nchi.
Hivi kwani wewe ni mjinga sana?, Kenya itauhukumiwa kama nchi kuanzia 1963, na Tanzania kuanzia 1961. Pia nchi haitahukumiwa kwa kile ilichokifanya kwa ajili ya manufaa yake bali kile ilichokifanya katika kusaidia wenzake, acha ujinga sometimes.