Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Nipo nafwatilia all stars comedy ni mbaya mpaka sasa hakuna cha maana ni wanalia watu pesa zao comedy hawana new things or thoughts 💠ambazo zina washawishi watu wanaanza kuleta mambo ya mitano tena
Kama huyu comedy si mkubali na sijawai mwelewa kabisa kanajikuta nyodo nyingi kisa kalio
Kama huyu comedy si mkubali na sijawai mwelewa kabisa kanajikuta nyodo nyingi kisa kalio