All star comedy imepoa sana

All star comedy imepoa sana

Wanajitahidi ila ni kama 5% unaangalia saa zima unacheka dakika moja dakika 59 unajaribu kuwaelewa inashindikana hucheki, dah wanatia huruma...
Huwa nacheka kwasababu hawachekeshi najikuta nacheka kule kutochekesha kwao, sio kwamba wanachekesha ila nacheka kwa sababu hawachekeshi itabidi iwekwe fly-up comedy hii ya kustand imewashinda
 
Back
Top Bottom