All star comedy imepoa sana

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
25,258
Reaction score
48,589
Nipo nafwatilia all stars comedy ni mbaya mpaka sasa hakuna cha maana ni wanalia watu pesa zao comedy hawana new things or thoughts πŸ’­ ambazo zina washawishi watu wanaanza kuleta mambo ya mitano tena

Kama huyu comedy si mkubali na sijawai mwelewa kabisa kanajikuta nyodo nyingi kisa kalio
 
Ila nyashπŸ˜‚, anaitwa nani
 
Kalil likowapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…