Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Shemeji hiyo kazi unalipwa au umejitolea?Mi Kazi yangu nitafunga kifaa maalum cha kupiga picha na video kwa Siriπ€¨
Tutawaweka kweny ukuta sio shida zetuπππππYule wa ngβombe 100 ππππ
Kwanza tuanze kuandaa zizi ngβombe 100 si mchezo bina
Ntatuma mwakilishiUsikose mjomba
ππππ Na wababa waliokataa hao watoto mmojawapo ni wewe dadeqJf hamna chuchu saa sitaπkama yupo ajitokeze humu wengi 25+ na mutoto mumoja ambayo baba yake imemukataaa
Naunga mkono hoja π€£ chinga akijisahau mpige picha ya kichwa maana ana kipara kimeng'aaa sanaMi Kazi yangu nitafunga kifaa maalum cha kupiga picha na video kwa Siriπ€¨
Picha ulizogoogle au zle picha zako kipindi ukiwa form twoKwahiyo unataka utumiwe picha za manyonyo yanavyotoboa blauz
Safi sana ..legendary this time tufanyie pale the marz ..zamani nyumbani lodgeWanabody hili ni wazo kwakuwa hili liliwai kufanyika miaka ya 2013-14 na liwa na mafanikio makubwa sana nakumbuka lilifanyika pale Kebby'es na nyingine ikafanyika Escape one.
Namimi nikiwa moja ya hile kamati! Na kwakuwa imepita muda mrefu basi tunaleta wazo kwenu ili anagalau tukutane tuojadili mambo ya maendeleo Kila mtu anabaki na User name yake labda ukiamua wewe kuisema ila siyo lazima kutaja user name yako kwa sababu za kiusalama!
Njia ambayo itakayotumiwa ni kuuza tikiketi kwa mtandao hata katika vituo ambavyo vitatajwa hapo baadae..Kwa sasa ni kutoa wazo muitikio wenu ndiyo utatoa ruhusa ya kufanyika hili jambo! Naleta kwenu wazo!
Nimejitolea ili kutunza kumbukumbu ππShemeji hiyo kazi unalipwa au umejitolea?
Ya leo leoPicha ulizogoogle au zle picha zako kipindi ukiwa form two
Ww hata 10 utapata, ila hakikisha kwanza ngβombe zipo?? ππππTutawaweka kweny ukuta sio shida zetuπππππ
Ila na mim si ntapata ng'ombe mbili tatu wa supu
Ole wako tuone selfikaNimejitolea ili kutunza kumbukumbu ππ
ππSiku hyo nikija kwenye part na tubolt tusichekane kaka
Charles kilian die ππNaona ashakuwa kenge, subiri atoke damu tu
Selfika Uzi umefutwa kule ni full violence π€£πOle wako tuone selfika
Sina mtoto chaliang! Sema 2025/2026 lazima nimpeleke binti wa mtu laborππππ Na wababa waliokataa hao watoto mmojawapo ni wewe dadeq
Huyu nachukua video kabisa na vigimbi vyake kama viazi vya Ifakara πππNaunga mkono hoja π€£ chinga akijisahau mpige picha ya kichwa maana ana kipara kimeng'aaa sana
Hakuna shida lazima ntahakikisha hizo moo zipo kweli, tusije tukaletewa utumbo πππWw hata 10 utapata, ila hakikisha kwanza ngβombe zipo?? ππππ
Umefutwa lini tena sijapita huko nna muda kidogo.Selfika Uzi umefutwa kule ni full violence π€£π
Nasemaje sihami!! Wakiona nawatinga wahame wao πππππ wameyatimba
Am Sorry π€Mi Kazi yangu nitafunga kifaa maalum cha kupiga picha na video kwa Siriπ€¨