All white JF PARTY 2024 ni nani yupo tayari?

All white JF PARTY 2024 ni nani yupo tayari?

Hapo sawa binamu 😍😍😍
Shem wako mambo mengi yupo kwenye kazi zake za udalali muda huu…
Mahari yenyewe walikimbia mpk leo hawajarudi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Kheeeekhee
Basi tumchukue yule alokufungulia uzi, maan alisema nimtongozee kutakua na mgao wanguπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wanabody hili ni wazo kwakuwa hili liliwai kufanyika miaka ya 2013-14 na liwa na mafanikio makubwa sana nakumbuka lilifanyika pale Kebby'es na nyingine ikafanyika Escape one.

Namimi nikiwa moja ya hile kamati! Na kwakuwa imepita muda mrefu basi tunaleta wazo kwenu ili anagalau tukutane tuojadili mambo ya maendeleo Kila mtu anabaki na User name yake labda ukiamua wewe kuisema ila siyo lazima kutaja user name yako kwa sababu za kiusalama!

Njia ambayo itakayotumiwa ni kuuza tikiketi kwa mtandao hata katika vituo ambavyo vitatajwa hapo baadae..Kwa sasa ni kutoa wazo muitikio wenu ndiyo utatoa ruhusa ya kufanyika hili jambo! Naleta kwenu wazo!
Mimi kwa kweli kwenye socio issues
ndo mambo yangu,
Naunga mkono hoja,
Maxence Melo timu yako jambo lifanyike basi!!
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Kheeeekhee
Basi tumchukue yule alokufungulia uzi, maan alisema nimtongozee kutakua na mgao wanguπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Yule wa ng’ombe 100 πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwanza tuanze kuandaa zizi ng’ombe 100 si mchezo bina
 
πŸ‘Œ nalo neno, sema yashaisha km umetoa sumu nna imani kila mmoja atakaa kwenye nafasi yake…
Ila nawe una mineno binamu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
When you are young, enjoying your life na u jobless wako.
Una Anza vipi kuwaza hate ya mtu asiye kujua hata kidogo πŸ€’.

Beside maneno ya nini, account statement zipoπŸ˜€πŸ€’,
 
Back
Top Bottom